Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,765
- 218,383
DuuuuuhHakuna mtu yeyote anayeishi kwa uongo ambaye anaweza kupambana na Lissu ( unajua kwa nini nimetaja uongo ) na hili nimeona nikutahadharishe mapema usije ukasema umeviziwa , Tundu Lissu The Greatest , kama vijana wa Tanzania wanavyomwita siku hizi si mtu wa mchezo , huyu sasa ni International figure , Mataifa makubwa hayawezi kumkubali mtu kama huyu kijinga tu hivi hivi , unapaswa kuwa makini na maapizo yako , vinginevyo utapandisha kisukari na kuishia kupalaraizi na kupoteza fahamu .
Njia pekee ya kupambana na Lissu ni kuongea ukweli , jambo ambalo wewe mwenyewe na aliyekuteua hamliwezi wala hamtawahi hata kuthubutu , Kumwangusha Lissu unapaswa uwataje kwa majina yote matatu waliomshambulia mchana kweupe bungeni Dodoma , uwataje na waliowatuma , utaje na waliowaondoa walinzi siku ya shambulio , jambo hili hutaliweza hadi unaingia kaburini , kifupi ni kwamba umefeli kabla hata hujaanza , ni vema kabla ya kudandia ya Lissu ungewaambia wananchi yalikoishia makinikia yaliyokamatwa bandarini , ni vema ukiweka wazi ulikookota muswada kandamizi wa vyama vya siasa , muswada ambao hakuna mtu yeyote mwenye maono awezaye kuukubali .
Ni lazima pia utuambie kama Kabudi wa Tume ya Warioba na Kabudi huyu anayetokwa povu kama wana uhusiano wowote , vinginevyo utaingia kwenye kundi la wachumia tumbo walio tayari kudhalilika kwa ajiri ya njaa ya siku chache , Namshukuru Mungu kwa kukuzuia kuwa mwalimu wa wanangu .
.........Itaendelea .....
mbona polisi washamshindwa Lissu kitambo sana ! Lissu ndiye aliyekomesha wananchi kudhalilishwa kwa kupimwa mikojo
Haaaambona polisi washamshindwa Lissu kitambo sana ! Lissu ndiye aliyekomesha wananchi kudhalilishwa kwa kupimwa mikojo
Jiwe anahangaika sana na Lissu. Anafikiria drama za kila aina kumtowesha huyu mtu, roho inamuuma sana kuona chuma kinapumua. Alitamani Mahiga afanye jambo supernatural kumnyamazisha Mahiga kashindwa, sasa anamleta Kabudi akiamini huyu atakuwa dawa. Ni kama mtu aliyetumbukia ziwani, hawezi kuogelea na anadhani kila akionacho mbele yake kinaweza kumuokoa asizame hata kama ni jani tuu.Hakuna mtu yeyote anayeishi kwa uongo ambaye anaweza kupambana na Lissu ( unajua kwa nini nimetaja uongo ) na hili nimeona nikutahadharishe mapema usije ukasema umeviziwa , Tundu Lissu The Greatest , kama vijana wa Tanzania wanavyomwita siku hizi si mtu wa mchezo , huyu sasa ni International figure , Mataifa makubwa hayawezi kumkubali mtu kama huyu kijinga tu hivi hivi , unapaswa kuwa makini na maapizo yako , vinginevyo utapandisha kisukari na kuishia kupalaraizi na kupoteza fahamu .
Njia pekee ya kupambana na Lissu ni kuongea ukweli , jambo ambalo wewe mwenyewe na aliyekuteua hamliwezi wala hamtawahi hata kuthubutu , Kumwangusha Lissu unapaswa uwataje kwa majina yote matatu waliomshambulia mchana kweupe bungeni Dodoma , uwataje na waliowatuma , utaje na waliowaondoa walinzi siku ya shambulio , jambo hili hutaliweza hadi unaingia kaburini , kifupi ni kwamba umefeli kabla hata hujaanza , ni vema kabla ya kudandia ya Lissu ungewaambia wananchi yalikoishia makinikia yaliyokamatwa bandarini , ni vema ukiweka wazi ulikookota muswada kandamizi wa vyama vya siasa , muswada ambao hakuna mtu yeyote mwenye maono awezaye kuukubali .
Ni lazima pia utuambie kama Kabudi wa Tume ya Warioba na Kabudi huyu anayetokwa povu kama wana uhusiano wowote , vinginevyo utaingia kwenye kundi la wachumia tumbo walio tayari kudhalilika kwa ajiri ya njaa ya siku chache , Namshukuru Mungu kwa kukuzuia kuwa mwalimu wa wanangu .
.........Itaendelea .....
Kama kaja kwa lengo la kupambana na Lissu hawezi atashindwa asubuhi tu, hoja zake ni za nguvu, anadhani kuzungumza kwa ukali ndio kueleweka kwa hoja, halafu hayuko systematic, nilimpuuza alipobadilika kwenye issues ya katiba.Hakuna mtu yeyote anayeishi kwa uongo ambaye anaweza kupambana na Lissu ( unajua kwa nini nimetaja uongo ) na hili nimeona nikutahadharishe mapema usije ukasema umeviziwa , Tundu Lissu The Greatest , kama vijana wa Tanzania wanavyomwita siku hizi si mtu wa mchezo , huyu sasa ni International figure , Mataifa makubwa hayawezi kumkubali mtu kama huyu kijinga tu hivi hivi , unapaswa kuwa makini na maapizo yako , vinginevyo utapandisha kisukari na kuishia kupalaraizi na kupoteza fahamu .
Njia pekee ya kupambana na Lissu ni kuongea ukweli , jambo ambalo wewe mwenyewe na aliyekuteua hamliwezi wala hamtawahi hata kuthubutu , Kumwangusha Lissu unapaswa uwataje kwa majina yote matatu waliomshambulia mchana kweupe bungeni Dodoma , uwataje na waliowatuma , utaje na waliowaondoa walinzi siku ya shambulio , jambo hili hutaliweza hadi unaingia kaburini , kifupi ni kwamba umefeli kabla hata hujaanza , ni vema kabla ya kudandia ya Lissu ungewaambia wananchi yalikoishia makinikia yaliyokamatwa bandarini , ni vema ukiweka wazi ulikookota muswada kandamizi wa vyama vya siasa , muswada ambao hakuna mtu yeyote mwenye maono awezaye kuukubali .
Ni lazima pia utuambie kama Kabudi wa Tume ya Warioba na Kabudi huyu anayetokwa povu kama wana uhusiano wowote , vinginevyo utaingia kwenye kundi la wachumia tumbo walio tayari kudhalilika kwa ajiri ya njaa ya siku chache , Namshukuru Mungu kwa kukuzuia kuwa mwalimu wa wanangu .
.........Itaendelea .....
Lissu ameletwa na Mungu mwenyewe kwa malengo maalum , hakuna wakala yeyote wa Shetani atakayemuwezaJiwe anahangaika sana na Lissu. Anafikiria drama za kila aina kumtowesha huyu mtu, roho inamuuma sana kuona chuma kinapumua. Alitamani Mahiga afanye jambo supernatural kumnyamazisha Mahiga kashindwa, sasa anamleta Kabudi akiamini huyu atakuwa dawa. Ni kama mtu aliyetumbukia ziwani, hawezi kuogelea na anadhani kila akionacho mbele yake kinaweza kumuokoa asizame hata kama ni jani tuu.
Uzuri ni kwamba lissu ataendelea kuwa mpinzani wa serikali iliyopo madarakana hivyo haina madhara.Hakuna mtu yeyote anayeishi kwa uongo ambaye anaweza kupambana na Lissu ( unajua kwa nini nimetaja uongo ) na hili nimeona nikutahadharishe mapema usije ukasema umeviziwa , Tundu Lissu The Greatest , kama vijana wa Tanzania wanavyomwita siku hizi si mtu wa mchezo , huyu sasa ni International figure , Mataifa makubwa hayawezi kumkubali mtu kama huyu kijinga tu hivi hivi , unapaswa kuwa makini na maapizo yako , vinginevyo utapandisha kisukari na kuishia kupalaraizi na kupoteza fahamu .
Njia pekee ya kupambana na Lissu ni kuongea ukweli , jambo ambalo wewe mwenyewe na aliyekuteua hamliwezi wala hamtawahi hata kuthubutu , Kumwangusha Lissu unapaswa uwataje kwa majina yote matatu waliomshambulia mchana kweupe bungeni Dodoma , uwataje na waliowatuma , utaje na waliowaondoa walinzi siku ya shambulio , jambo hili hutaliweza hadi unaingia kaburini , kifupi ni kwamba umefeli kabla hata hujaanza , ni vema kabla ya kudandia ya Lissu ungewaambia wananchi yalikoishia makinikia yaliyokamatwa bandarini , ni vema ukiweka wazi ulikookota muswada kandamizi wa vyama vya siasa , muswada ambao hakuna mtu yeyote mwenye maono awezaye kuukubali .
Ni lazima pia utuambie kama Kabudi wa Tume ya Warioba na Kabudi huyu anayetokwa povu kama wana uhusiano wowote , vinginevyo utaingia kwenye kundi la wachumia tumbo walio tayari kudhalilika kwa ajiri ya njaa ya siku chache , Namshukuru Mungu kwa kukuzuia kuwa mwalimu wa wanangu .
.........Itaendelea .....
ni vema ukijikita kwenye mada bwana mdogoUzuri ni kwamba lissu ataendelea kuwa mpinzani wa serikali iliyopo madarakana hivyo haina madhara.
Sindano imekuchoma jichoni eeh!ni vema ukijikita kwenye mada bwana mdogo
Na uzuri ni kwamba hakuna serikali yeyote iliyowahi kukaa madarakani milele yote.Uzuri ni kwamba lissu ataendelea kuwa mpinzani wa serikali iliyopo madarakana hivyo haina madhara.
Na uzuri ni kwamba hakuna serikali yeyote iliyowahi kukaa madarakani milele yote.
Wakati wakiamua kumfuata Lissu huko aliko kabla ya kushuka kwenye ndege wote watavalishwa bangiri
mbona polisi washamshindwa Lissu kitambo sana ! Lissu ndiye aliyekomesha wananchi kudhalilishwa kwa kupimwa mikojo
Mwacheni aingie kwenye record za walio feli mapemaKama kaja kwa lengo la kupambana na Lissu hawezi atashindwa asubuhi tu, hoja zake ni za nguvu, anadhani kuzungumza kwa ukali ndio kueleweka kwa hoja, halafu hayuko systematic, nilimpuuza alipobadilika kwenye issues ya katiba.
Uzuri ni kwamba lissu ataendelea kuwa mpinzani wa serikali iliyopo madarakana hivyo haina madhara.