Ngurumbizi
Member
- Aug 8, 2011
- 97
- 114
Labda kagongwa na gari ikajipost kabla hajamaliza bwasheeNdio nini?,umekunywa nini au kuvuta nini mchana huu
Kwahiyo ana mleo mleo wa kugongwaLabda kagongwa na gari ikajipost kabla hajamaliza bwashee
MnoKwahiyo ana mleo mleo wa kugongwa
Huyu jamaa bana kabla ya kugongwa na gari alivaa suruali ya jinsi ila baada ya ajali ametokea kavaa kipensi cha jinsi kilicho chanikachanika sijui gari likimgonga mtu linamchania na nguo
Hahahahahaha au jamaa kapiga visungura akazima , kabla ya kumalizia uzi ikajipost🤔Huyu jamaa bana kabla ya kugongwa na gari alivaa suruali ya jinsi ila baada ya ajali ametokea kavaa kipensi cha jinsi kilicho chanikachanika sijui gari likimgonga mtu linamchania na nguo
Kwaio una shaur jamaa aache kugongwa hovyo?
Juma Aweso atakuwa na mkewe Zainab AbdallahNdio code mpya tao!
Sijashauri bwasheeKwaio una shaur jamaa aache kugongwa hovyo?
Kama tu humu jamvini tunaona athari ya ulevi wa mleta mada huko aliko si ndio itakuwa balaaHahahahahaha au jamaa kapiga visungura akazima , kabla ya kumalizia uzi ikajipost🤔
Huko alipo anaweza hata jipupulia aseee🤔Kama tu humu jamvini tunaona athari ya ulevi wa mleta mada huko aliko si ndio itakuwa balaa
Kwenye serikali ijayo sisi wananchi wasikilizaji tutarajie kuongozwa na ndugu wa familia moja,jamaa zao na marafiki zao.Kuna nini hapa
Itakuwa tunavivuta au kuvinywa pamoja 😂😂😂 huo ushauri na wewe unakuhusuKama kuna vitu unavivuta au kuvinywa nakushauri uviache umeanza kuharibikiwa