Ndugu, jamaa na marafiki njooni tumtetee Makonda dhidi ya mapapa wauza unga wanaomzushia

Ebu mshaurini atoe vyeti a one kama Luna mtu atamsakama tRNA. Mbona yule meneja wa bar aliobesha vyeti tu na heshima IPO mpaka Leo?
 
Wana jopo,

Toka sakata la vyeti vya Mh Paul Makonda liibuke naona tumeongea mengi sana toka kijijini alikozaliwa mpaka kufikia kuteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salama.

Kila mmoja ameongea kwa hisia tofauti na mitazamo tofauti.

Najaribu kusoma mjadala wa sakata hili ktk mitandao naona kila mtu ni vyeti tu vyeti tu!! vitoe vitoe!!

Najiuliza kuwa watu wanataka vyeti tu au kuna lingine nyuma ktk kutaka vyeti?

Wakipata vyeti vya Makonda na vikawa sawa watasemaje?

Kwanini asakamwe kuhusu vyeti Mara tu baada ya kutangaza issue ya madawa ya kulevya??

Kuna uhusiano gani wa hii issue ya vyeti na mwanainchi wa kawaida wa Dar?

Athari gani chanya au hasi za hili sakata zipo ktk Uongozi wa Mkoa?

Mungu Ibariki Tanzania
na hili zoezi la kudai vyeti liwe la kudumu pia lisibague vyama
wapi alisoma mtuhuru aweke vyeti na yeye
 
Wana jopo,

Toka sakata la vyeti vya Mh Paul Makonda liibuke naona tumeongea mengi sana toka kijijini alikozaliwa mpaka kufikia kuteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salama.

Kila mmoja ameongea kwa hisia tofauti na mitazamo tofauti.

Najaribu kusoma mjadala wa sakata hili ktk mitandao naona kila mtu ni vyeti tu vyeti tu!! vitoe vitoe!!

Najiuliza kuwa watu wanataka vyeti tu au kuna lingine nyuma ktk kutaka vyeti?

Wakipata vyeti vya Makonda na vikawa sawa watasemaje?

Kwanini asakamwe kuhusu vyeti Mara tu baada ya kutangaza issue ya madawa ya kulevya??

Kuna uhusiano gani wa hii issue ya vyeti na mwanainchi wa kawaida wa Dar?

Athari gani chanya au hasi za hili sakata zipo ktk Uongozi wa Mkoa?

Mungu Ibariki Tanzania
Pamoja na porojo zote ulizoandika, mwambie atoe vyeti...!
 
Vyeti mbele kama tai. maneno yataisha mbele ya vyeti. huko kulalamika au kuteteana kunazidisha watu kutaka vyeti
 
Ni hayo tu....
Asije kupata pepo la kujiuzulu wala asije wapa waovu nafasi ya ushindi,asimame imara.
•KWA SABABU NAFASI KAMA ZA UKUU WA WILAYA AU MKUU WA MKOA ZIPO KIUTAWALA ZAIDI NA SI KI"PROFESSIONAL" KAMA MADAKTARI,MAINJINIA N.K..
->kwani ni hatari zaidi kwa mtu kama daktari kuforge lolote maana huyu huweza kupelekea mauaji ya watu.
 
Nani wakivipata ina maana yeye hana vyeti vyake Kiongozi? Jenga hoja acha kuruka ruka. Ulisha sikia anasema vyeti vyake vimepotea au kuna sehemu Alivisahau? Think louder
Na maana hivyo alivyokuwa navyo akiamua tuvione na vikawa sawa yaani OK hakuna dosari itakuwaje
 
Mwiguli, Riz1, Makamba mdogo, Kingwala ngwala, wote hawa waliwahi kuwatingisha waBongo na wakajikuta wako katika hali mbaya sana kisiasa.
Walipofanikiwa kunasuka, walifyata mkia mpaka wa leo huwezi kuwasikia wakiongea ongea kwa nyodo...
Huyu dogo naye hakuweza kujifunza kwa wenzake, akadhani ukisha kuwa na cheo ndio unaweza kuvuta sharubu za kila mtu, sasa nadhani kwa joto hii ya jiwe ambayo ameionja, akiweza kunasuka hapa, 'he will never be the same again'.
Kikwete alishwahi kutaadharisha kwenye suala la EPA pale aliposema kuwa , hawa watu wana nguvu sana, na ukiwagusa nchi itatikisika'... Kikwete aliwajua vizuri wananchi wake anaowaongoza na aliwaongoza kwa taadhari...
Sasa ni zamu ya wanasiasa wengine wanaoibukia kujua nguvu halisi ya watanzania walio wachache ambao kwa kiasi kibubwa wameshikilia uchumi wa nchi hii, au wana influence kubwa ingawa huwezi kuwasikia sikia sana kwenye media...
Dalili za kukata tamaa hizo na kuishiwa pumzi,umehisi kushindwa kwa kampeni yenu chafu
Makonda ni very Intelligent huwezi kumlinganisha na Mwigulu.Vita inaendelea
 
Wana jopo,

Toka sakata la vyeti vya Mh Paul Makonda liibuke naona tumeongea mengi sana toka kijijini alikozaliwa mpaka kufikia kuteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salama.

Kila mmoja ameongea kwa hisia tofauti na mitazamo tofauti.

Najaribu kusoma mjadala wa sakata hili ktk mitandao naona kila mtu ni vyeti tu vyeti tu!! vitoe vitoe!!

Najiuliza kuwa watu wanataka vyeti tu au kuna lingine nyuma ktk kutaka vyeti?

Wakipata vyeti vya Makonda na vikawa sawa watasemaje?

Kwanini asakamwe kuhusu vyeti Mara tu baada ya kutangaza issue ya madawa ya kulevya??

Kuna uhusiano gani wa hii issue ya vyeti na mwanainchi wa kawaida wa Dar?

Athari gani chanya au hasi za hili sakata zipo ktk Uongozi wa Mkoa?

Mungu Ibariki Tanzania

Hoja yako inatia uvivu hata kuijadili,unapojiona kuwa fikra zako ni sahihi zaidi ya wenzako,ujuwe umefika ukomo wa kufikiri.Suala la anayejiita Paul Makonda lipo wazi,hakuna anayehangaika na mambo yake,hata nafasi aliyonayo haituhusu,atajuwana mwenyewe na aliyemteua.

Tunachohitaji sisi ni uadilifu wa kitaaluma,aoneshe vyeti vyake tu,ili taifa lijiridhishe kuwa lina viongozi wanaotenda na kufikiri kwa upeo wa akili zao.Kwani cheti chake kina uzito wa tani ngapi kiasi cha kumfanya ashindwe kukibeba na kukileta mbele ya vyombo vya habari,badala yake anakimbilia kumwaga machozi kwenye nyumba za ibada?
 
Wana jopo,

Toka sakata la vyeti vya Mh Paul Makonda liibuke naona tumeongea mengi sana toka kijijini alikozaliwa mpaka kufikia kuteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salama.

Kila mmoja ameongea kwa hisia tofauti na mitazamo tofauti.

Najaribu kusoma mjadala wa sakata hili ktk mitandao naona kila mtu ni vyeti tu vyeti tu!! vitoe vitoe!!

Najiuliza kuwa watu wanataka vyeti tu au kuna lingine nyuma ktk kutaka vyeti?

Wakipata vyeti vya Makonda na vikawa sawa watasemaje?

Kwanini asakamwe kuhusu vyeti Mara tu baada ya kutangaza issue ya madawa ya kulevya??

Kuna uhusiano gani wa hii issue ya vyeti na mwanainchi wa kawaida wa Dar?

Athari gani chanya au hasi za hili sakata zipo ktk Uongozi wa Mkoa?

Mungu Ibariki Tanzania
walimu na Manes waliotimuliwa ivi ilikua issue ya vyeti ama kulikua na issue nyingine nyuma ya pazia?? au kwa kua huyu ni papa??
 
Hata kama leo Daudi angeleta vyeti vyake, sidhani kama ingelisaidia tena. Kwa nini alikaa kimya mda wote huo?? Asikimbilie makanisani na misikitini kujificha humo. Alete vyeti ka sivyo mtukufu rais naye amuulize Gwajima; Nimtumbue au nisimtumbue?' Alimfanya yule mmbaba wa watu kafwa Bp kwa kumtumbulia hadharani. Leo, zamu yake cause they say; What goes round comes around. Tena utavuna ulichopanda atii! Hiyo ni kanuni ya asili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom