Ndugu, jamaa na marafiki njooni tumtetee Makonda dhidi ya mapapa wauza unga wanaomzushia

Sijasikia alichosema lakini nimekuwa nataka kusema haya muda mrefu sana, kabla hata mambo ya vyetu hayajafumuka. Nakatishwa tamaa ninapoandika kitu halafu kinafutwa bila sababu za msingi.

Unandika ujinga ndio maana nyuzi zako zinafutwa.
 
Sijasikia alichosema lakini nimekuwa nataka kusema haya muda mrefu sana, kabla hata mambo ya vyetu hayajafumuka. Nakatishwa tamaa ninapoandika kitu halafu kinafutwa bila sababu za msingi.
Aliloulizwa kuhusu cheti na hao wanafunzi, akijibu it's one of the very interesting story ambayo haihitaji akili ya darasani kuielewa, inahitaji akili ya kuzaliwa, ndio maana ameamua kukaa kimya.
Kama ni mpngo maalum huo mpango ni wa ccm au taifa?
 
Kama mtu ninayependa sana kumsoma Robert Caro na niliyesoma vitabu vyake vyote, kikiwamo "The Power Broker: Robert Moses and The Fall of New York", naomba nikatae vikali sana kumfananisha Robert Moses na Paul Makonda.

Kumfananisha Robert Moses na Paul Makonda ni sawa na kumfananisha Habib Kinyogoli na Muhammad Ali.

Ni sawa na kumfananisha Paul Makonda na Nelson Mandela.

Robert Moses was a power broker who built New York.

Paul Makonda is a fraudster who cannot even strategize his media outreach without goons with guns.

The_Power_Broker_book_cover.jpg

Kama nilivyosema, hii siyo endorsement. Kwanza na Robert Moses na mwenyewe alikuwa very controversial! Ninachosema power ya Paul Makonda ndiyo kwaaaanza inaanza kukua. Kuna investment kubwa zinakuja kufanyika kuibadilisha Dar es Salaam na huyu bwana ndiye ameaminika na kuandaliwa kusimamia hiyo transformation.

Robert Moses alikuwa kwenye circle za New York kwa zaidi ya miaka 40! Paul Makonda tumemjua juzi tu. Ukiona hadi pisto zinanyoshwa kumlinda mtu ujue there is a lot at stake!

By the way, hicho kitabu ninacho!
 
Lissu azidi kumcharukia Magufuli, akerwa mtuhumiwa wa Range Rover zilizofichwa kwenye makontena ya mitumba kusota mahabusu siku 23
Mar 27, 2017 by Raia Mwema in Habari
RAIS wa Chama cha Wanasheria Tanganyika, Tundu Lissu, ambaye pia ni Mbunge wa Singida Mashariki, amesikitishwa na hatua ya Jeshi la Polisi – kitengo cha Bandari kuendelea kumshikilia Ramadhani Mussa Hamisi Ukwaju, bila kumfikisha mahakamani ama kumwachia kwa dhamana.

Ramadhani ndiye anayehusishwa na tukio la kusafirisha magari matatu ya kifahari aina ya Range Rover katika makontena ambayo taarifa zake zilionyesha mzigo huo ni nguo za mitumba, tukio lililofichuliwa na Rais Dk. John Magufuli alipofanya ziara ya kushtukiza katika Bandari ya Dar e s Salaam takriban wiki moja iliyopita.

Lissu ambaye pia ni Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na pia Mnadhimu Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni, aliweka bayana hayo leo, Machi 27, 2017. Kwa mujibu wa taarifa ya Lissu ambayo ‘tovuti’ hii imeinasa, Ramadhani amekuwa mahabusu kwa wiki kadhaa sasa.

“Nimetoka Polisi Bandari muda huu. Nilikwenda kumwona mtu aitwaye Ramadhani Mussa Hamisi Ukwaju ambaye yuko mahabusu ya Polisi Bandari tangu tarehe 4 ya mwezi huu. Ukwaju anatuhumiwa kuhusika na mzigo wa magari ya kifahari yaliyokamatwa na Bwana Mkubwa Rais siku chache zilizopita. Leo ni siku ya 23 yuko mahabusu. Hajapelekwa kwenye mahakama yoyote na hajashtakiwa kwa kosa lolote lile,” anaeleza Lissu

Anaendelea; “Suala lake limeshafika kwa DPP (Mwendesha Mashitaka) na kwa RPC Simon Sirro tangu siku kadhaa zilizopita lakini kila mkubwa anayehusika anaogopa kutoa maamuzi ya kumpeleka mahakamani au hata kumwachia kwa dhamana ya polisi.”

Kwa mujibu wa Lissu, hayo ndiyo madhara ya rais kuingilia majukumu ya kisheria yasiyomhusu. Anasisitiza; “Rais wetu anaweza kuwa Amiri Jeshi Mkuu lakini yeye sio askari polisi mwenye jukumu la kukamata wahalifu au kupeleleza makosa wanayotuhumiwa nayo.”

Anasema japokuwa ni Rais ndiye anayemteua DPP, lakini yeye si DPP na hana mamlaka ya kuamua nani apelekwe mahakamani na nani asipelekwe.

“Sasa inapotokea Rais anakwenda kwenye matukio ya uhalifu, kama ilivyokuwa kwenye suala la Ukwaju, anawafanya watendaji wanaohusika nayo washindwe kufanya kazi zao kwa mujibu wa sheria.

“Katika mazingira ya sasa ya 'utumbuaji majipu', watumishi wa umma wanaogopa kufanya maamuzi kwa hofu ya kutumbuliwa majipu, hasa kwa masuala ambayo yameshafikishwa kwa Rais kwa njia extra-legal kama hili la Ukwaju. Matokeo yake haki za wananchi za kuwa huru zinakiukwa bila sababu za msingi.”

“Haya ni masuala ambayo TLS chini ya uongozi wangu inatakiwa kuyashughulikia. Hii ni sehemu ya agenda tutakayompelekea Rais na IGP (Mkuu wa Jeshi la Polisi) na AG (Mwanasheria Mkuu wa Serikali) pamoja na Waziri mpya wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi tutakapoenda kuonana nao kama tulivyokwishawaomba. Kila mmoja wetu, mawakili na wasiokuwa mawakili tuyapigie kelele matumizi mabaya ya mamlaka ya kiupelelezi na ya kipolisi yanayopelekea haki za wananchi wetu kuvunjwa namna hii,” anasema Lissu na kuongeza kuwa kelele zitasaidia, ukimya ni sawa na kuyaunga mkono matendo hayo aliyoyaita mabaya.
Kwani kilianza nini, kukamatwa kwa huyu mtu, na kukamatwa kwa haya makontana yenye Range Rover?
Mhalifu anaanza kukamatwa,baadaye (karibu siku ishirini mbele), ndio kosa linajulikana ! !
 
Kama nilivyosema, hii siyo endorsement. Kwanza na Robert Moses na mwenyewe alikuwa very controversial! Ninachosema power ya Paul Makonda ndiyo kwaaaanza inaanza kukua. Kuna investment kubwa zinakuja kufanyika kuibadilisha Dar es Salaam na huyu bwana ndiye ameaminika na kuandaliwa kusimamia hiyo transformation.

Robert Moses alikuwa kwenye circle za New York kwa zaidi ya miaka 40! Paul Makonda tumemjua juzi tu. Ukiona hadi pisto zinanyoshwa kumlinda mtu ujue there is a lot at stake!

By the way, hicho kitabu ninacho!
Kitabu unacho ila umekisoma?

Kanuni kubwa kabisa ya kulinganisha vitu inatuambia, unapolinganisha,linganisha vinavyolinganika, vilivyo na uwiano.

Ndiyo maana hata kwenye boxing wanapambanishwa watu wenye uzito mmoja.

Sasa wewe unakuja hapa unatuambia Hamorapa ni muimbaji mkali kama Bob Marley.

Lazima tukushangae.
 
Aliloulizwa kuhusu cheti na hao wanafunzi, akijibu it's one of the very interesting story ambayo haihitaji akili ya darasani kuielewa, inahitaji akili ya kuzaliwa, ndio maana ameamua kukaa kimya.
Kama ni mpngo maalum huo mpango ni wa ccm au taifa?

Interesting. Naona wameona waipoteze tena thread yangu. Naanza kuamini nilichokuwa najua muda mrefu kwamba hii forum inaendeshwa na watu ambayo siyo mnaodhani!

Oooh kuhusu huo mpango, mimi sina maoni kuhusu utendaji wake, ufanisi wake wa kazi au hata identity yake. Nimeona tu nisaidie wale wanaopenda kufikiri. Kwa sababu wanazozijua wao, maoni yangu huwa hayana maana humu.
 
Kitabu unacho ila umekisoma?

Kanuni kubwa kabisa ya kulinganisha vitu inatuambia, unapolinganisha,linganisha vinavyolinganika, vilivyo na uwiano.

Ndiyo maana hata kwenye boxing wanapambanishwa watu wenye uzito mmoja.

Sasa wewe unakuja hapa unatuambia Hamorapa ni muimbaji mkali kama Bob Marley.

Lazima tukushangae.

Nitakuwa mkweli, kitabu nimekisoma tu chapters kadhaa wa kadhaa! Ningekuwa napanga kuwa na career kwenye upangaji mji na siasa zinazohusiana na mambo hayo labda ningekipa muda zaidi, labda sasa nitafanya hivyo. Kitabu chenyewe nadhani ni kurasa zaidi ya 1,000.

Hii haibadilishi nilichokisema, nimemresearch huyu Robert Moses kabla hamna mtu Dar es Salaam anamjua mtu anayeitwa Paul Makonda.
 
Kama nilivyosema, hii siyo endorsement. Kwanza na Robert Moses na mwenyewe alikuwa very controversial! Ninachosema power ya Paul Makonda ndiyo kwaaaanza inaanza kukua. Kuna investment kubwa zinakuja kufanyika kuibadilisha Dar es Salaam na huyu bwana ndiye ameaminika na kuandaliwa kusimamia hiyo transformation.

Robert Moses alikuwa kwenye circle za New York kwa zaidi ya miaka 40! Paul Makonda tumemjua juzi tu. Ukiona hadi pisto zinanyoshwa kumlinda mtu ujue there is a lot at stake!

By the way, hicho kitabu ninacho!
Swali ni: what is at stake?
 
Kwan hii vita ya madawa kwasasa si haimuhusu tena coz kuna taasisi maalumu imeundwa na ipo kisheria ye cha kufanya aonyeshe vyeti tuone hao wauza unga watapambana nae vipi
 
Swali ni: what is at stake?

Kusema kweli, sina interest sana kufikiria upande huo. Sijui hata niseme nini zaidi lakini ndiyo mambo ya POWER yalivyo. Kwa bahati mbaya, hakuna binadamu anayeweza kubadilisha hilo. Cheki historia ya New York na ya Robert Moses unaweza pata mwangaza zaidi.
 
Nitakuwa mkweli, kitabu nimekisoma tu chapters kadhaa wa kadhaa! Ningekuwa napanga kuwa na career kwenye upangaji mji na siasa zinazohusiana na mambo hayo labda ningekipa muda zaidi, labda sasa nitafanya hivyo. Kitabu chenyewe nadhani ni kurasa zaidi ya 1,000.

Hii haibadilishi nilichokisema, nimemresearch huyu Robert Moses kabla hamna mtu Dar es Salaam anamjua mtu anayeitwa Paul Makonda.
Hujajibu hoja ya msingi.

Kanuni ya kulinganisha vitu inatutaka tulinganishe vinavyolinganika.

Wewe unatuambia Hamorapa ni muimbaji mzuri sawasawa na Bob Marley.

Kuna Profesa mmoja wa theoretical physics akiitwa Wolfgang Pauli.

Ukiboronga paper zake anakwambia "you are not even wrong".

Yani kwake,kuwa wrong inaonekana umeelewa kidogo swali ila umekosea kujibu, akikwambia "you are not even wrong" maana yake you are less than wrong, umeboronga vitu vya msingi kabisa.

Sasa wewe kwa kulinganisha vitu visivyolinganishika, unaingia katika hii category ya "you are not even wrong".

Yani hata wrong hujaifikia bado.

You are just absurd.
 
Kwan hii vita ya madawa kwasasa si haimuhusu tena coz kuna taasisi maalumu imeundwa na ipo kisheria ye cha kufanya aonyeshe vyeti tuone hao wauza unga watapambana nae vipi
Watu wanamtetea Makonda kwa sababu ya vita dhidi ya madawa ya kulevya kama vile Tanzania nzima mtu pekee anayeweza kupiga vita madawa ya kulevya ni Makonda tu.

Nashangaa.
 
Hujajibu hoja ya msingi.

Kanuni ya kulinganisha vitu inatutaka tulinganishe vinavyolinganika.

Wewe unatuambia Hamorapa ni muimbaji mzuri sawasawa na Bob Marley.

Kuna Profesa mmoja wa theoretical physics akiitwa Wolfgang Pauli.

Ukiboronga paper zake anakwambia "you are not even wrong".

Yani kwake,kuwa wrong inaonekana umeelewa kidogo swali ila umekosea kujibu, akikwambia "you are not even wrong" maana yake you are less than wrong, umeboronga vitu vya msingi kabisa.

Sasa wewe kwa kulinganisha vitu visivyolinganishika, unaingia katika hii category ya "you are not even wrong".

Yani hata wrong hujaifikia bado.

You are just absurd.

Sidhani kama haujanielewa na sijui kwa nini una interest sana ya kuni discredit lakini nitakujibu. Post yangu ilikuwa inalinganisha mission zao na siyo ufanisi wao au personalities zao (ingawa interestingly, hata kwa personalities RM na PM wanafanana sana). Ninaposema 'Paul Makonda ni Robert Moses reincarnate' namaanisha amekwekwa kwa mission kubwa kama ambayo RM alikwenda kufanya NY kwa waliomuweka pale (unadhani RM alipata nguvu na vyeo vile kwa nguvu zake mwenyewe?).

Suala linakuja wewe unamuangalia RM wa 1950's-1960's (na legacy yake) na kusema halingani na PM wa 2017 kwa sababu tu PM haja-achive mafanikio aliyokuwa amefikia RM in the 50s. Mimi argument yangu n kwamba foundation ya mission ya watu waliomuweka PM ni kuconsolidate power ya Dar es Salaam kwa mtu mmoja ili kupata same results (after all, in 1960's RM alikuwa tayari 40 years in the game). If anything, unaweza kusema PM ameweza kuconsolidate power kiasi hiki haraka sana kwa kipindi hiki kifupi hivi, imagine 10 years kutoka sasa, 20 years, 30 years, umenielewa sasa?

Nasisitiza, siongelei ufanisi wake, hilo sijagusia kabisa. Nimetoka kurealize sasa hivi, sijawahi kumuongelea huyu bwana hata siku moja, online au offline. Hii inaweza kuwa mara ya kwanza.
 
Sidhani kama haujanielewa na sijui kwa nini una interest sana ya kuni discredit lakini nitakujibu. Post yangu ilikuwa inalinganisha mission zao na siyo personalities (ingawa interestingly, hata kwa personalities wanafanana sana). Ninaposema 'Paul Makonda ni Robert Moses reincarnate' namaanisha amekwekwa kwa mission kubwa kama ambayo RM alikwenda kufanya NY kwa waliomuweka pale (unadhani RM alipata nguvu na vyeo vile kwa nguvu zake mwenyewe?).

Suala linakuja wewe unamuangalia RM wa 1950's-1960's (na legacy yake) na kusema halingani na PM wa 2017 kwa sababu tu PM haja-achive mafanikio aliyokuwa amefikia RM in the 50s. Mimi argument yangu n kwamba foundation ya mission ya watu waliomuweka PM ni kuconsolidate power ya Dar es Salaam kwa mtu mmoja ili kupata same results (after all, in 1960's RM alikuwa tayari 40 years in the game). If anything, unaweza kusema PM ameweza kuconsolidate power kiasi hiki haraka sana kwa kipindi hiki kifupi hivi, imagine 10 years kutoka sasa, 20 years, 30 years, umenielewa sasa?

Nasisitiza, siongelei ufanisi wake, hilo sijagusia kabisa. Nimetoka kurealize sasa hivi, sijawahi kumuongelea huyu bwana hata siku moja, online au offline. Hii inaweza kuwa mara ya kwanza.

Hutakiwi kulinganisha watu wasiona intelligence level sawa.

Paul Makonda kafoji vyeti kufika hapo alipo.

Robert Moses kasoma Yale,Oxford na Columbia.

No contest.

Mmoja ana academic merit, mwingine ni fraudster. Hufanyi haki kuwalinganisha.

"After graduating from Yale University (B.A., 1909) and Wadham College, Oxford (B.A., Jurisprudence, 1911; M.A., 1913), and earning a Ph.D. in political science from Columbia University, Moses became attracted to New York City reform politics."
 
Back
Top Bottom