Sisi sote tu waafrika watusi wahutu wasomali wangoni wakamba wamasai tusikubali kugawanywa.Ni kweli , Kagame anatisha , Sijui ! Labda awe Rais milele , unyama alioufanya ndani na nje ya Rwanda si wa kawaida .
Ugawanywe mara ngapi!!?? ....Sisi sote tu waafrika watusi wahutu wasomali wangoni wakamba wamasai tusikubali kugawanywa.
Pia kuna hizi namba zilikuwa maarufu nazinapata kick ya kutosha katika serikali ya awamu ya nneWanaBodi,
Napenda kujua habari za wanasiasa wafuatao (yaani kwa sasa wako wapi na wanafanya nini?). Kwa nia nzuri kabisa kwa sababu wana jamii tumewamisi sana.
1. Isimail Aden Rage
2. Charles Keenja
3. Iddi Azan
4. Rostam Aziz
6. Abdul Rahman Kinana
7. Ritta Mlaki
8. Juma Othman Kapuya
9. Omar Ramadhan Mapuri
10. Augustino Lyatonga
11. Benedicto Mutungirehi
12. Christopher Sendeka
13. Seleman Kumchaya
Wakoloni weupe walitugawa ni kweli sasa wakoloni weusi nao..eti nawao.Ugawanywe mara ngapi!!?? ....
Wakoloni weupe walitugawa....waafrika wenyewe tukajigawa tena ECOWAS SIJUI EAC MARA SADC .... TUKAJIGAWA KIKANDA SIJUI NYANDA ZA JUU KUSINI , MARA KANDA YA ZIWA...HAIKUTOSHA ....TUKAJIGAWA TENA KISIASA. .. TUTAJIGAWA MPAKA MWISHO DHAMBI HII HAIFUTIKIWakoloni weupe walitugawa ni kweli sasa wakoloni weusi nao..eti nawao.
AL - ShababuWatu wenye asili ya rage huwa hawana huruma hata kidogo
Mbona husemi WAACHOLI nao kuhusu eti LORD RESISTANTs ARMY.AL - Shababu
Upo Dunia gani?huyu mzee wawatu(Kigoda) ni marehemu...hapa sasa ndio nimeamini jf inawakurupukaji.
....Wa Manyoni Mashariki na mwenziwe John Lwanji wa Manyoni Magharibi....Usisahau Mzee Chiligati
.....Nakumbuka alivyo koswa koswa na mawe....Maskini Aden. Simba ni kama kasahaulika vile...Aden Rage alipigwa laana na Mwenyezi Mungu baada ya kushiriki kumshambulia kada wa cdm kule dodoma , yule jamaa ilikuwa auwawe lakini miujiza ya Mungu ilimuokoa
Huyo danny lazima utakuwa unapishana naye pale sinza,maana ulizoea kumuona kavaa suti,sasa hivi yuko ndani ya suti ya blue na mabuti meupe na fagio mkononi,lazima umpite,hata ile miwani ya macho sidhani kama anavaa, akiwa adhabuni.Na hawa pia wako wapi? Natanguliza samahani kama wengine wametutoka
Daniel Yona
Njelu Kasaka
Mussa Nkhangaa
Abdallah Kigoda
Bakari Mbonde
Sawasawa! Juma Kapuya na Philemon Sarungi SIWASIKII kabisa katika anga za siasa!Hapo 12 yupo lumumba kama msemaji wa ccm