chuwaalbert
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 3,598
- 2,134
.....Anha.... nitafurahi kuwasikia. Walio Wanamichezo TUNGEPENDA warudi kwenye fani yao ya asili...miongoni mwao wataibuka kwenye ukuu wa wilaya hivyo vuta subira mkuu
Naam. Hiyo mizigo INAYODODOKA ndo "ndugu hawa" wasioonekana katika anga za Siasa za Inji hii kwa sasa.....
...Tuendeleze orodha: Assah Mbene, Muhingo Rweyimamu, Salva Rwey-Imamu, Novel a tour us Makunga, Elizabeth Chalamila, Gabri Ndyerumaki, Felix Sunzu, Imaa Okwii, Omar Mapuri, J J Okocha....Kwa kuongezea tu..... Ezekieli wenje, James Lembeli, David Kafulila, Wasira, H. Kiwia...... Felix Mkosamali
umesahau wengineWanaBodi,
Napenda kujua habari za wanasiasa wafuatao (yaani kwa sasa wako wapi na wanafanya nini?). Kwa nia nzuri kabisa kwa sababu wana jamii tumewamisi sana.
1. Isimail Aden Rage
2. Charles Keenja
3. Iddi Azan
4. Rostam Aziz
6. Abdul Rahman Kinana
7. Ritta Mlaki
8. Juma Othman Kapuya
9. Omar Ramadhan Mapuri
10. Augustino Lyatonga
11. Benedicto Mutungirehi
12. Christopher Sendeka
13. Seleman Kumchaya
Samweli SittaWanaBodi,

Hapo 12 yupo lumumba kama msemaji wa ccmWanaBodi,
Napenda kujua habari za wanasiasa wafuatao (yaani kwa sasa wako wapi na wanafanya nini?). Kwa nia nzuri kabisa kwa sababu wana jamii tumewamisi sana.
1. Isimail Aden Rage
2. Charles Keenja
3. Iddi Azan
4. Rostam Aziz
6. Abdul Rahman Kinana
7. Ritta Mlaki
8. Juma Othman Kapuya
9. Omar Ramadhan Mapuri
10. Augustino Lyatonga
11. Benedicto Mutungirehi
12. Christopher Sendeka
13. Seleman Kumchaya
Umemsahau14: stivin wasiraWanaBodi,

Rage atarudi wapi wakati nafasi yake imejaa?.....Anha.... nitafurahi kuwasikia. Walio Wanamichezo TUNGEPENDA warudi kwenye fani yao ya asili...
Teeeeeh teeeeeeh teeeeeh, hana hamu tena?Madame Ritta. Kawe hatamani kutia mguu. Kuna Ayan Ledi pale....
Mkuu hiki ni kifaru au gari?