Naona wewe umeingia kwa fujo humu, na kwa vile unalipwa basi kila post yako unataka ionekane ime base wapi hata kama hakuna sababu ya kufanya hivyo. Wengine tunatoa maoni tu na hoja bila kujali tumeegemea wapi. Post 24 so far..........you need to work hard kid ili ulipwe. kazi ni kwakounajichanganya .....! yaani hueleweki upo upande gani! but unaonekana unawatete akinaMagamba...!
Kuna kanuni mkuu mule ndani, la sivyo kila mtu angekuwa anajiwashia tu si ingekuwa mnada?Hivi ni kosa kuwasha MIC mpaka Wabunge kutolewa nje?
Bunge lililopita (namaanisha lile ambalo Sitta alikuwa speaker) lilivutia sana na sikupenda kupitwa na mijadala iliyokuwa inaendelea mule ndani. Tofauti na leo ambapo kila siku ya Mungu kuna kituko. Bunge limekuwa kama primary school vile ambapo mbabe anaweza kumkaba mwenziye,, kisa.....yeye mtemi.
Sasa sijui sababu ni speaker kuzidiwa, au wenyeviti nao kuzidiwa? Lakini pia pengine tuliamini kuingiza vijana bungeni kwa vyama vyote kungeleta tija na kasi ya haraka kuelekea mageuzi ya kweli ya maendeleo?? Nadhani hali imekuwa kinyume,, tuliyoyashuhudia kipindi hiki, ni aibu kuu na ni utovu wa nidhamu kutoheshimu kanuni za Bunge. Bunge linaendeshwa kwa kanuni na si kiholela kama wengine wanavyotaka liende. Nilitamani siku za mbele nigombee lakini sasa sitaki tena, nafsi imeingia jivu, bora niendele na umachinga tu.
Nimesoma michango yako mingi mkuu inaonekana ww ni mwana Magamba mzuri sana kama natania wenzangu jaribuni kusoma kazi za wengine mtamuona huyu jamaa,Magamba ndio wanaleta utumbo huo unaouliza hapa,kila kitu ndiyoooooooooooo kazi mnayo nyie watu
Nimesoma michango yako mingi mkuu inaonekana ww ni mwana Magamba mzuri sana kama natania wenzangu jaribuni kusoma kazi za wengine mtamuona huyu jamaa,Magamba ndio wanaleta utumbo huo unaouliza hapa,kila kitu ndiyoooooooooooo kazi mnayo nyie watu
Kuna kanuni mkuu mule ndani, la sivyo kila mtu angekuwa anajiwashia tu si ingekuwa mnada?