Ndugai: Chenge,Ngeleja kuenguliwa mwezi ujao

Ndugai: Chenge,Ngeleja kuenguliwa mwezi ujao

kesi ya mramba na yona toka 2010 hadi leo hukumu haijatoka je hawa hukumu itatoka lini?
 
Mnyantuzu Chenge balaa....lakini ameanza kupeleka jimboni Milion 100 labda ataongeza tena ili wasimnyime ubunge Bariadi
 
Werema hana mamlaka ya kusamehee kodi hivyo anaweza kushtakiwa kwani haikuwa sehemu ya mujukumu yake ya kisheria

NARUDIA TENA

Kwa taarifa yako ukiwa mwanasheria mkuu wa serikali ukishatoka kwenye hiyo nafasi huwezi kushtakiwa kwa maamuzi uliofanya wakati wa utumishi wako! hata kwa werema pia.
 
Nae atuambie kwann alianzisha gem ya escrow akamwachia bi mkora
 
Aliyetuhumiwa na kibajaji kapona? Au kibajaji alilidanganya binge?
 
ila kuna ka-ukweli kuwa vijisenti si kwamba hela zote anaweka mfukoni mwake per se, kutakuwa na kiasi kingine kinaenda kwa wakubwa--- kwa nini aogopwe? why,
 
Haitoshi kuwavua uenyeviti wa kamati husika, kwa waliyoyafanya wahusika wote wamepoteza hadhi ya kuendelea kuwa Wabunge hivyo wote wafukuzwe Bungeni.
 
Haitoshi kuwavua uenyeviti wa kamati husika, kwa waliyoyafanya wahusika wote wamepoteza hadhi ya kuendelea kuwa Wabunge hivyo wote wafukuzwe Bungeni.

muda umeshaisha
 
Back
Top Bottom