Ndugai atua Zanzibar, akutana na Wajumbe wa Kamati kuu CCM Zanzibar

mie ninachoona wanaoweweseka ni bavicha
Mmeshaambiwa ni mlezi wa ccm kusini unguja,kuna la ajabu gani hapo kukutana na wanachama wake?
Neno Bavicha ungemuita Boy friend wako ili uwe unamuita hata mkiwa wawili, umeonysha kulipenda sana jina hilo
 
Spika wa Bunge na mlezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kusini na Kaskazini Unguja, Job Ndugai amekutana na kufanya mazungumzo na Wajumbe wa Kamati Kuu Zanzibar, Wajumbe wa Halmashauri Kuu Taifa, Wenyeviti wa Mikoa,Wilaya na Maafisa wa CCM Ofisi kuu Zanzibar alipowasili Zanzibar leo.View attachment 1054422View attachment 1054423

Sent from my iPhone using Tapatalk
Maalif self hakika kiboko ya ccm
 
Neno Bavicha ungemuita Boy friend wako ili uwe unamuita hata mkiwa wawili, umeonysha kulipenda sana jina hilo
Ukiona mtu anatoka nje ya mada kwa makusudi ujue kaishiwa hoja,kwani boy friend wa mamako si anatumia jina hilo hilo la bavicha?
 
Spika wa Bunge na mlezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kusini na Kaskazini Unguja, Job Ndugai amekutana na kufanya mazungumzo na Wajumbe wa Kamati Kuu Zanzibar, Wajumbe wa Halmashauri Kuu Taifa, Wenyeviti wa Mikoa,Wilaya na Maafisa wa CCM Ofisi kuu Zanzibar alipowasili Zanzibar leo.View attachment 1054422View attachment 1054423

Sent from my iPhone using Tapatalk
Huyu ibilisi nisivompenda!
 
Ukiona mtu anatoka nje ya mada kwa makusudi ujue kaishiwa hoja,kwani boy friend wa mamako si anatumia jina hilo hilo la bavicha?
Kwi kwi kwi, dada ume panic? jiunge tuu na Bavicha itasaidia kukupunguzia mhemko!
 
mie ninachoona wanaoweweseka ni bavicha
Mmeshaambiwa ni mlezi wa ccm kusini unguja,kuna la ajabu gani hapo kukutana na wanachama wake?
Kaenda kuonana na watu wa Kusini Unguja peke yake ama na viongozi wa CCM wa Zanzibar nzima?
 
Back
Top Bottom