Ndugai akiona chamoto jimboni kwake



Ndugai....majuzi kaibiwa dola 15'000 na changudoa professional wa DAR aliyemburudisha nyumbani kwake weekend .....akaamua kujilipa.

Matokeo yake akaamua kumsingizia houseboy wake ambae ni mtoto wa mpiga Kura wake aliyemchukua kijijini kwa ahadi ya kazi na elimu ....wema wa kijana wa Watu shuktani yake imeishia kuwekwa Rumande Isanga
 
dah mze wangu nn tena....kuwa mpole mambo yata kuwa shwari
 
Tangu Lissu amburuze ktk kipima joto cha ITV jamaa amekuwa na hasira mara na chadema kuliko viongozi wote wanaoongoza vikao vya Bunge.
 
Tangu Lissu amburuze ktk kipima joto cha ITV jamaa amekuwa na hasira mara na chadema kuliko viongozi wote wanaoongoza vikao vya Bunge.

lissu dawa yake ni kigwangalla akipatwa tu na hali yake anamuwahi kumpa dozi ya ugonjwa wake
 
wow.........very good news.Hata mimi nakachukia haka kajamaa,huku nawaonea huruma wanajimbo kuwa na mtu mwenye akili yenye kutu.
 

CDM wanaset agenda.:

-Wakibariki kinakwenda,wakilaani kinalaaniwa, wakikiambia utahangaika ktk maisha yako yote ya kitaifa na inakuwa hivyo..How Great is the Lord.

Walimpa mkapa.kawa kiporo, wakampa Lowasa hasafishiki, wakampa Nape na mwigulu n aimekuwa, sendeka akawageuka wakampa sasa hivi anatikisa ------ tuu bungeni na 6 wake, wakaipa CUF hata kwao hawakubalikai tena.

Sasa ni ndugai , makinda, nkamia,na msoga.
 
Safi sana Mlali, Kibaigwa,pandambili,chamkoroma,Tubugwe,Iduo, Zoisa..., ****** hanachake p'plessss power.
 
Ngoja alinywe; si alilikoroga meenyewe? CCM's gonna take great pains to accord that power is not everything and perishable too! Now deal with it Ndugai!
 
Tangu Lissu amburuze ktk kipima joto cha ITV jamaa amekuwa na hasira mara na chadema kuliko viongozi wote wanaoongoza vikao vya Bunge.

Job Ndugai is a fake Deputy Speaker of all our times!
Job Ndugai AJIANDAE KUPOTEZA Job ya Ubunge hapo 2015! Huyu hafai hata kuwa Mwenyekiti wa Kijiji.

CV yake inaonesha he is a Veterinary Officer(AFISA MIFUGO) kwa hiyo mawazo yake yamekaa kama Mnyama na ndiyo maana anashindwa kuendesha Bunge KIUBINADAMU badili yake anataka kuwaendesha Wabunge wenzie kama WANYAMA!

Shame on you Job!!!
 
Nilimwona juzi akimwambia Magufuli kwamba barabara ya Kongwa aikumbuke maana wapinzani walimsiliba sana walipoenda!
 

Khee! Kazi imeanza rasmi!
 

wabunge wa chadema wanazungumza hoja za msingi zinazowagusa wananchi kama elimu,ulofa.maji,uuaji wa tembo,wizi wa fedha za umma,mikataba ya kitapeli nk,spika na naibu wake mnazima hoja hizi na kuwafukuza bungeni.wananchi wanapigwa na bumbuwazi!!!!!!.badala ya kiti kuongoza wabunge kuiwajibisha serkali ambayo ndio kazi yao wanaitetea.kwa tabia hii wabunge wengi wa ccm hawatarudi bungeni.
 

duuh!!!umemsahau kinana!walimwanika mkapa arumeru sina hamu,huyu mzee aliingia arumeru kichwakichwa , kwa mbwembwe na kwa kujiamini kuliko.alitoka huko akiwa amelowa chapachapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…