ungonella wa ukweli
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 4,210
- 556
kweli mkuu ccm sio chama cha siasa, bali ni genge la walanguzi...Ni kweli kuwa kitendo cha Chadema kutaka kumonopolise huu mchakato hakipaswi kuvumiliwa. Katiba ni ya watanzania wote, sio ya vyama vya siasa...
ndugai ni pumbafu sana, ni mchafu kama choo cha stand enzi za mabasi ya uma miaka ya tisini kurudi nyuma....katika hoja zoote za msingi na mustakabali wa mchi miaka mia ijayo,kwa kifupi tunatengeneza tanzania ya kesho. Yeye ndo hilo la msingi kaliona..?! Bila aibu anakuja mbele ya wanaume,wanawake na watoto kutueleza sababu za u.puuzi aliofanya,hicho ndo kimemsukuma...? Naogopa kuona moja ya muhimili muhimu wa dola unaongozwa na mtu mwenye mawazo ya waimba mipasho,naisikitikia nchi yangu...
Bunge la katiba na kambi rasmi ya upinzani wapi na wapi??? Je anawazungumziaje CUF na NCCR Mageuzi ambao nao wameupinga mswada????? Jaribu kuwa makini hata wewe mleta uzi tumia AKILI.Anasema janja yao ni hofu kuwa bunge la katiba wabunge CUF wakiungana na wawakilishi wa znz ambao nao watakuja bunge la ktiba watakuwa wengi na hivo kuchukua nafasi ya kambi rasmi ya upinzani wakati wa hilo bunge la katiba. CDM wanalijua hilo ndo maana wanajaribu kucheza mchezo ili isiwe hivo waendelee kuwa kambi rasmi. Lissu povu linamtoka kumbe sababu hatakuwa na nafasi ya kusikika! chezea siasa!
Anasema janja yao ni hofu kuwa bunge la katiba wabunge CUF wakiungana na wawakilishi wa znz ambao nao watakuja bunge la ktiba watakuwa wengi na hivo kuchukua nafasi ya kambi rasmi ya upinzani wakati wa hilo bunge la katiba. CDM wanalijua hilo ndo maana wanajaribu kucheza mchezo ili isiwe hivo waendelee kuwa kambi rasmi. Lissu povu linamtoka kumbe sababu hatakuwa na nafasi ya kusikika! chezea siasa!
Wewe ni kichaa. Nani kakwambia Bunge la katiba litafuata kanuni za bunge la Muungano? Kanywe kiroba ulaleAnasema janja yao ni hofu kuwa bunge la katiba wabunge CUF wakiungana na wawakilishi wa znz ambao nao watakuja bunge la ktiba watakuwa wengi na hivo kuchukua nafasi ya kambi rasmi ya upinzani wakati wa hilo bunge la katiba. CDM wanalijua hilo ndo maana wanajaribu kucheza mchezo ili isiwe hivo waendelee kuwa kambi rasmi. Lissu povu linamtoka kumbe sababu hatakuwa na nafasi ya kusikika! chezea siasa!
Bora ungeandika kiswahili tu ili wamatumbi wenzako wakuelewe ulitaka kusema nini. Hii tabia ya kujitutumua kuandika kienglisha halafu bado kinakupiga chenga haikusaidii chochote na hakuna mtu yeyote atakayevutiwa kutaka kujua cv yako.
Inaonekana wewe una matatizo kichwani au labda tu hujui, au labda tu ni tabia yako kukosoa/au kuchangia mada au post yoyote unayoikuta humu. Hicho kiingereza kina tatizo gani [grammatical error]???? hahahahahahahaa. Hata hivyo ujumbe umefika.
Chadema ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya kilaghai...