MJIMPYA
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 506
- 273
Anasema janja yao ni hofu kuwa bunge la katiba wabunge CUF wakiungana na wawakilishi wa znz ambao nao watakuja bunge la ktiba watakuwa wengi na hivo kuchukua nafasi ya kambi rasmi ya upinzani wakati wa hilo bunge la katiba.
CHADEMA wanalijua hilo ndo maana wanajaribu kucheza mchezo ili isiwe hivo waendelee kuwa kambi rasmi.
Lissu povu linamtoka kumbe sababu hatakuwa na nafasi ya kusikika! chezea siasa!
CHADEMA wanalijua hilo ndo maana wanajaribu kucheza mchezo ili isiwe hivo waendelee kuwa kambi rasmi.
Lissu povu linamtoka kumbe sababu hatakuwa na nafasi ya kusikika! chezea siasa!