kila siku wiki ya tatu sasa naota ndoto nimekusanya mashiring ya mia mbili mia na hamsini kwenye viroba kisha nikiwa kwenye hatua za mwisho za kubeba hua nastuka gafla hua nakasirika sana naweza kua eneo kama biafra au mnazi mmoja kwenye mnara na roba la mashiring nililolibeba mara gafla kabla ya kupanda gari nazinduka usingizini msaada jamani hi hali inanitesa
Mm ndo shekhe Yahaya niliebaki ,kijana appoh umaskini unakunyemelea,solution yake tafuta demu anae jua kuchuna sana ukae nae ili nyota yke iku boost
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
shekhe yahaya ulobakia lini ataanza kuokota manot ......
mtu wa kumchuna nipo hapa