Msema kweli ni mpenzi wa Mungu, vitu hivi ndivyo hasa vya kuambiana ukweli ili watanzania wavijue badala ya kuvificha na kutoa ahadi tuuuuu..... Tukae tujadiliane kwa pamoja kama taifa na tutende kama wale wenzetu wa Uarabuni, Singapore, Malaysia, Cape Verde, Thai, Uturuki, Uchina, n.k wamefanya nini na rasilimali zao hadi wakafika pale walipo pamoja na kuwepo kwa ukoloni mamboleo na utandawazi. Na huu usiwe mkakati wa mtu mmoja chama kimoja au miaka 10 tu bali tulione taifa kwa pamoja miaka 100 ijayo. Hii habari ya kuwaona watu walioko vyama vingine kama watu wa nchi nyingine inawafurahisha mno wakoloni mamboleo sio sisi kama taifa.We actually have all those u have mentioned but mind you my friend, the whites are the one who control market technology and even capital. Their the one who decide what we should get in whatever we trade
Hivi ndoto zako ulizokuwa nazo ulizitekeleza baada ya muda gani?Tanzania ina vyanzo vingi vya mapato ambavyo hata Mh. Rais wetu akalidhika navyo kuwa atavitumia kuifanya Tanzania kuwa donor country na sio kuwa ombaomba tena. Ndoto hii ikoje utekelezaji wake hadi sasa?
Hahaahahha hawezi kujaLizabon njoo fasta ujibu hli swali. Labda mwenzetu unalo jibu.
nilivyokuwa mdogo nilikuwa na ndoto ya kusoma hadi chuo kikuu na ndoto hiyo ilikamilika kidogokidogo kwa awamu, std 7, form 4, form 6, undergraduate,...... Hata vision huwa inafikiwa kwa awamu. Hata kuwa nchi kufikia kiwango cha kutoa misaada kwa nchi nyingine nako kuna stages zake, sasa hivi tuko stage gani?Hivi ndoto zako ulizokuwa nazo ulizitekeleza baada ya muda gani?
Nimefurai mleta mada ameihita ndoto. Izo ndo zinaitwa ndoto za alinachaTanzania ina vyanzo vingi vya mapato ambavyo hata Mh. Rais wetu akalidhika navyo kuwa atavitumia kuifanya Tanzania kuwa donor country na sio kuwa ombaomba tena. Ndoto hii ikoje utekelezaji wake hadi sasa?
Asee hayo ndo maneno nakupa like.Msema kweli ni mpenzi wa Mungu, vitu hivi ndivyo hasa vya kuambiana ukweli ili watanzania wavijue badala ya kuvificha na kutoa ahadi tuuuuu..... Tukae tujadiliane kwa pamoja kama taifa na tutende kama wale wenzetu wa Uarabuni, Singapore, Malaysia, Cape Verde, Thai, Uturuki, Uchina, n.k wamefanya nini na rasilimali zao hadi wakafika pale walipo pamoja na kuwepo kwa ukoloni mamboleo na utandawazi. Na huu usiwe mkakati wa mtu mmoja chama kimoja au miaka 10 tu bali tulione taifa kwa pamoja miaka 100 ijayo. Hii habari ya kuwaona watu walioko vyama vingine kama watu wa nchi nyingine inawafurahisha mno wakoloni mamboleo sio sisi kama taifa.
Kama hujui hiyo ndoto imeanza lini ni wazi huwezi kujua tumefukia stage gani, hivyo huna Budi kuendelea kuotanilivyokuwa mdogo nilikuwa na ndoto ya kusoma hadi chuo kikuu na ndoto hiyo ilikamilika kidogokidogo kwa awamu, std 7, form 4, form 6, undergraduate,...... Hata vision huwa inafikiwa kwa awamu. Hata kuwa nchi kufikia kiwango cha kutoa misaada kwa nchi nyingine nako kuna stages zake, sasa hivi tuko stage gani?
Tumeanza na kumpa msaada Zuma kwa ajiri ya nchi yake , fuatilia vizuri .Tanzania ina vyanzo vingi vya mapato ambavyo hata Mh. Rais wetu akalidhika navyo kuwa atavitumia kuifanya Tanzania kuwa donor country na sio kuwa ombaomba tena. Ndoto hii ikoje utekelezaji wake hadi sasa?
Only in Tanzaniandoto ikisimuliwa hadharani inageuka kuwa ukweli kama vile mheshimiwa fulani alivyosimulia ndoto yake hadharani kikamkuta cha kumkuta gerezani.