Ndoto ya Tanzania kuwa donor country imefikia wapi?

Tuna gesi ya kutosha, tuna makaa ya mawe ya kutosha, then tunasign mikataba ya kuuziwa umeme kutoka Ethiopia. Bado tuna ndoto za kua donor country. Kuna mikataba mingine naona haina tofauti na ya akina Carl Peter na akina chief Mangungu.
 
Tanzania ina vyanzo vingi vya mapato ambavyo hata Mh. Rais wetu akalidhika navyo kuwa atavitumia kuifanya Tanzania kuwa donor country na sio kuwa ombaomba tena. Ndoto hii ikoje utekelezaji wake hadi sasa?
Mkuu jifunze kutofautisha Ndoto na Reality
 
Tanzania ina vyanzo vingi vya mapato ambavyo hata Mh. Rais wetu akalidhika navyo kuwa atavitumia kuifanya Tanzania kuwa donor country na sio kuwa ombaomba tena. Ndoto hii ikoje utekelezaji wake hadi sasa?

Nakubaliana na hoja hii. Tanzania ina unexploited potential kubwa sana:

Kwa upande wa kilimo:

Sisal - Tanga, Morogoro, Kilimanjaro - inaweza kufanya nchi hii kuwa ya kwanza duniani
Coffee- Kilimanjaro , Arusha, Mbinga, Tarime- tunaweza kuwa wazalishaji wakubwa sana duniani
Cotton- Lake zone
Tea- Mbeya, Iringa, Njombe, Tanga, Songea- enormous potential
Pareto- Mbeya na Iringa
Cocoa- Kyela, Ifakara
Korosho- Pwani, Mtwara, Tunduru
Mahindi- kila mahali
Ngano- Arusha, Njombe, Mbeya
Maharagwe- Almostkila mahali
Ndizi- Mbeya, Kilimanjaro, Arusha, Mara, etc

Madini- ndiyo usiseme

Why all these years we have failed to turn these potentials into tangible assets?
 
Huamki tu na kuwa donor country. Unahitaji kuweka na kuisimamia mifumo endelevu ya utendaji, mifumo ya kupata timu ya watu weledi wa utendaji na wenye uzoefu, na michakato ya wazi ya utekelezaji wa mipango ya muda mfupi, wa kati na mrefu. Naamini tamko la kuwa "donor country" alilolitoa rais ilikiwa ni vision yake. Kuifikia kutahitaji muda wa kutosha na mabadiliko makubwa ya mindset na utekelezaji wa mikakati iliyopangwa.
 
Back
Top Bottom