Ndoto ya Simba kumnasa Niyonzima yaota mbawa!

Tumabke kwa nn mnaendelea kuchoma jezi?? Na msuva akikaa vibaya tunamng'oa na Ngoma vile vile
 
Kama Mwigulu atakuwa kaenda Rwanda akaacha askari wanauliwa Kibiti, hana budi kuwajibika kwa hili.
Ya Kibiti yashakuwa juu ya uwezo wake ndiyo maana kaomba msaada kwa Jwtz ambao Waziri wao ni Mwinyi,that's why CDF muda wowote atakuwa kule.Sasa unataka aende akafanye nini kwa kazi iliyopewa rufaa!?.Safi Mwigulu Nchemba,nasema chapa kazi!!
 
It is not done until it's done!
Tusubiri tuone. Lolote laweza kutokea.
Msishangae Okwi kutua Yanga.
 
Kiukweli kutoka Moyoni Niyonzima kasababisha ule Ugonjwa wa matatizo ya Akili kwa WanaVyura Fc...Tukiendelea hvi msishangae msimu unaoanza pale uwanja wa taifa kukageuka Kiwanda cha Makopo
 
Kiukweli kutoka Moyoni Niyonzima kasababisha ule Ugonjwa wa matatizo ya Akili kwa WanaVyura Fc...Tukiendelea hvi msishangae msimu unaoanza pale uwanja wa taifa kukageuka Kiwanda cha Makopo
Miaka minne hatukuona Kiwanda cha Makopo. Mwaka wa tano huo unakuja no VPL cup
 
Back
Top Bottom