Ndoto ya Simba kumnasa Niyonzima yaota mbawa!

Chinga One

JF-Expert Member
May 7, 2013
10,645
2,000
HARUNA NIYONZIMA AOTA MBAWA MSIMBAZI!

Alisema anashangazwa na viongozi Simba kuwadanganya mashabiki wao kama yeye amesaini simba. Asikika live Rwanda. FM RADIO. 87.6 katika kipindi cha michezo leo asubuhi.

Asema walichokizungumza na Yanga ndicho alichokizungumza na Simba lakini ukweli kwamba hajasaini Simba na wala hana mpango wa kusaini Simba.

Atoboa siri kuwa bado wapo kwenye mazungumzo na Yanga adai akitoka Yanga haendi timu yoyote Tanzania, Adai kuna vigogo ambao ni mashabiki wa Yanga akiwemo Waziri mmoja toka Wizara nyeti ambaye ni shabiki mkubwa wa Yanga amesafiri juzi usiku hadi Rwanda akiongozana na mtoto wa aliyekuwa mkuru wa nchi ambaye sasa ni Mbunge.
Wametua kule kwa ajiri ya mazungumzo nae.

Hivyo mchezaji huyo amesisitiza hadi sasa hajasaini Simba wala Yanga ila mwezi ujao kila kitu kitakuwa wazi.
 

Mbojo

JF-Expert Member
May 31, 2011
1,408
2,000
Hizo siasa. Hawezi kusema amesaini wakati mkataba wake na yanga bado haujaisha. Ngoja siku ifike urudi hapa kuverify.
 

LOCAL SPONSOR

JF-Expert Member
Oct 8, 2013
374
1,000
Inawezekana kuna ukweli katika hili, ila tunaomba mtoa mada utuwekee official statement ya club ya simba inayosema haruna amesajiliwa na Simba.
 

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,203
2,000
Rwanda siyo sehemu ya tanzania hivyo kajipange upya Gongowazi in [HASHTAG]#Manaravoice[/HASHTAG]
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom