Ndoto ya Mhe Membe Hii Hapa

Ndoto ya Mhe Membe Hii Hapa

Blah blah tu...hiyo ndoto kila mtu anayo mbona
 
Hii Mkuu ni kali sana! Sasa itakuwaje maana mijamaa ya libya inajua namna ya kufanya kwa waliodhulumiwa!

Wapo wanamsilizia tu endapo atazitumia Pesa Zao kununua njia kisha akachakachua kura pengine akawa Rais wa Tz kwa mbinu za kininja kwa pesa za Gadafi lazima wampeleke mahakama ya kimataifa kule the heuge Kama ilivyokuwa kwa Rais Kenyata , Walibya hawampendi membe wanamwona ni shiiiida.
 
Tujadili nini? Wewe unamtetea Membe ulikuwa ukidhani ni Mungu Mtu sasa umebaini kumbe yeye ana yake Mabaya unaanza kuchachawa nani mlevi ? Wewe unayemtetea membe ndiyo uache Ulevi kumbuka mjadala umeanza hivyo kila mwenye yake analeta hapa.

anaemtetea membe ni sababu ya vijisenti kwa maana hata matonya akimpa vijisenti atainuka na hoja za kimtetea mungu wangu wa bongo bwana they are ready to do anything provided he has bèeb given few coins
 
"Kuona wakulima wa Tanzania wanapata soko la uhakika la mazao yao na wanawezeshwa kushiriki kwenye shughuli nyingine za kujipatia kipato; vijana wanapatiwa elimu bora katika ngazi zote itayowapa ujuzi wa kuajiriwa na kujiajiri wenyewe; sekta binafsi inawezeshwa ipasavyo kwa kupunguza vikwazo na kuboresha miundombinu ili ichangie kwenye pato la taifa ipasavyo; na mwisho, huduma bora ya afya inatolewa bila malipo kwa wajawazito, watoto na wazee"
Hana tofauti na kaka yake mkubwa aliyeahidi maisha bora kwa kila Mtanzania wakati wa kugombea 2005. Yaani haya matatizo yanayowakabili Watanzania haya maCCM yanayaona tu uchaguzi unapokaribia?
 
Ndoto yake ya kuendeleza biashara ikulu kama anayoifanya nduguye kikwete ni ndoto tuliyoizima kabla hata hajaamka kutoka kwenye usingizi huu wa pono.
 
"Kuona wakulima wa Tanzania wanapata soko la uhakika la mazao yao na wanawezeshwa kushiriki kwenye shughuli nyingine za kujipatia kipato; vijana wanapatiwa elimu bora katika ngazi zote itayowapa ujuzi wa kuajiriwa na kujiajiri wenyewe; sekta binafsi inawezeshwa ipasavyo kwa kupunguza vikwazo na kuboresha miundombinu ili ichangie kwenye pato la taifa ipasavyo; na mwisho, huduma bora ya afya inatolewa bila malipo kwa wajawazito, watoto na wazee"

Kama kuna watu waliompotosha rais wa JMT mmoja wao ni Benard Camillius Membe. Ni mtu mwenye Jazba na fitina, tabia zote za kiswahili anazihodhi yeye. Katika wagombea wote yeye ni dhaifu sana na Pinda ndiyo kiboko yake. Tangu Punda aingie kwenye kinyangiro kundi lake limedhoofu sana.
 
jibu hoja, sio jazba

Hoja ni hipi kati ya uporoto uliouandika?
Siku moja mke wangu aliota ameolewa na mungu. Kwa hiyo mimi naweza kupita barabarani na kujitangza kwamba kumbe mimi ndiye mungu?
Punguza upunguani ndugu.
 
Kama kuna watu waliompotosha rais wa JMT mmoja wao ni Benard Camillius Membe. Ni mtu mwenye Jazba na fitina, tabia zote za kiswahili anazihodhi yeye. Katika wagombea wote yeye ni dhaifu sana na Pinda ndiyo kiboko yake. Tangu Punda aingie kwenye kinyangiro kundi lake limedhoofu sana.
Membe hachoki kufanya Fitna sasa kaja na Staili mpya ya Kuwachonganisha Lowasa na Pinda kisha yeye anakaa mbali na kuchungulia picha linavyokwenda baadae ananunua njia za kuelekea ikulu kwa kutumia zile pesa za marehemu Gadafi.
 
hii ni taarifa mbaya kwa hawa, funza na kiloriti ocampo four

Taarifa ipi mbaya ? Hapo Hakuna cha taarifa mbaya wala nini ! Huu Uzi nimeupenda kwani umenifanya nifunguke juu ya mapungufu na madhambi ya baba yako bernard membe , hapo ulipo najua umelowa jasho Maana pengine ulijua Membe ni Mungu Mtu huwa haugui wala kutumia Dawa, Nina imani sasa umejua Baba yako membe ni Fisadi mkubwa Pia alikwapua pesa za Gadafi baada ya kamati yake ya Ufundi kumteketeza Barozi kwa njia za Asili.
 
Last edited by a moderator:
Kama kuna watu waliompotosha rais wa JMT mmoja wao ni Benard Camillius Membe. Ni mtu mwenye Jazba na fitina, tabia zote za kiswahili anazihodhi yeye. Katika wagombea wote yeye ni dhaifu sana na Pinda ndiyo kiboko yake. Tangu Punda aingie kwenye kinyangiro kundi lake limedhoofu sana.
Membe hachoki kufanya Fitna sasa kaja na Staili mpya ya Kuwachonganisha Lowasa na Pinda kisha yeye anakaa mbali na kuchungulia picha linavyokwenda baadae ananunua njia za kuelekea ikulu kwa kutumia zile pesa za marehemu Gadafi.
 
Membe hachoki kufanya Fitna sasa kaja na Staili mpya ya Kuwachonganisha Lowasa na Pinda kisha yeye anakaa mbali na kuchungulia picha linavyokwenda baadae ananunua njia za kuelekea ikulu kwa kutumia zile pesa za marehemu Gadafi.
Mkuu funza, hata kwa hiyo njia Membe kuuzika ngumu sana, kwa ufupi Membe hatakiwi na wananchi
 
hawa wote lowasata,membe,pitapinda wajiandae kwenda keko sio magogoni
 
ndoto ni ndoto tu hakuna anaekatazwa kuota kwani ukilala lazima utaota na siku akiamka atafahamu kumbe alikuwa anaota tunataka watu wanaothubutu na sio watu wenye ndoto
 
Back
Top Bottom