RoadLofa
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 1,856
- 4,085
Maboss kwema umu?
Aya mandoto bhaana miyeyusho kweli jana usiku nimeshituka mida mibovu balaa baada ya lindoto la kutisha nimeota rafiki yangu wa kike ambaye tulikuwa tunapiga naye job wilaya fulani za mikataba endelevu kisha akaacha na kusepa ,nimeota bhana eti hakuondoka salama ni kama aliondoka ameacha bifu na mademu fulani ambao nao tulikuwa tunapiga nao kazi, sasa isssue imekuja baada ya kurudi iyo wilaya kutembea akakumbana na tukio la kushambuliwa vibaya kichwani kwa nyuma iliyopelekea jeraha kubwa ambapo alijifunika na ndoo hadi aliponifikia mimi akafunua ndoo kunionyesha kisha hali ikabadilika na kwenye kupambana kuita daktari akanifia mikononi mwangu
Nilistuka usiku baada ya iyo ndoto na kupiga maombi ya kukemea ayo maroho ya mauti ,nilitaka kumcheck kumsimulia iyo ndoto mbaya ila naona nipotezee tu asije sema nampanga na naona ni ndoto tu haina shida au waungwana mnasemaje ?si niipotezee tu?