Ndio hasa kama hazihusiani na mambo ya giza kwa uzoefu wangu ni kwamba watu wanaoshinda bila stress huwa na ndoto njema sana lakini ukishinda full worries, visasi na mambo mabaya hata usiku mandoto yako yatatishaMkuu hata ndoto za kutisha pia?
Huwa naota ndoto za kipindi cha nyuma mara nipo kwenye mitihani nafanya wakati sijafanya Maandalizi, mara nipo bwenini chuoni..... Sipendi kweli... Kwann nisiote future yangu naota past tu.
Uncomplished tasks.... Mitihani sio shule tuu... Shule inatumika kwakuwa imeshawekwa kwenye kumbukumbu ya kudumuHuwa naota ndoto za kipindi cha nyuma mara nipo kwenye mitihani nafanya wakati sijafanya Maandalizi, mara nipo bwenini chuoni..... Sipendi kweli... Kwann nisiote future yangu naota past tu.
Ndio hasa kama hazihusiani na mambo ya giza kwa uzoefu wangu ni kwamba watu wanaoshinda bila stress huwa na ndoto njema sana lakini ukishinda full worries, visasi na mambo mabaya hata usiku mandoto yako yatatisha
Kula sana na milalo ya kitandani pia huchangia maabara kushindwa kufanya kazi yake sawa sawa ni sawa na lab ambayo iko congested.. Huku chemicals zikimwagika huku na kule
Ukiachana na ndoto za asili kuna ndoto ambazo ni vita ya kiroho lakini pia ndoto nyingine huja kinyumejuzi nime ota nachapwa viboko mgongoni na miguuuni.
sasa sijui hapa ni kutokana na mihangaiko ya mchana au ni adhabu ya nin?
Ukiachana na ndoto za asili kuna ndoto ambazo ni vita ya kiroho lakini pia ndoto nyingine huja kinyume
Kwa hapa Tanzania ukiota ndoto usitangaze maana pogba akisikia utajikuta upo gereza la kisongo, kuota ndoto hapa Tanzania ni kosa kubwa na unaweza kukaa jela kwa muda mrefu
Ndoto za kawaida retrieval of the past memories... Sometimes ndoto kama hizi jua tu kwamba roho yake haiko mbali naweJee kumuota marehemu aliyekufa ...kina kuwa na uhisiano upi maana kuna siku uwa namuota jamaa flani tukiwa katika hali ya bashasha.
Mkuu kwanza shukrani kwa mada hii, nina Mambo napenda unieleweshe.
1. Hili la milango ya fahamu kwangu linanipa utata, nimeona umetaja takribani milango hadi nane ya fahamu. Nisaidie kunichambulia japo kwa ufupi kila mlango na kazi zake.
2. Ndoto maono na ndoto taarifa zina utofauti gani?
Binafsi naota sana ndoto tatizo langu huwa sikumbuki ndoto nayoota na kuna wakati kwa usiku mmoja naweza kuota ndoto hata mbili shida inakuja kwenye kukumbuka.
Naweza kumbuka kipande kifupi kingine sikumbuki, shida ni nini mkuu?