mlekulechoma
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 1,366
- 1,059
Ndoto nyingine majanga tupu!almanusura leo tutangaze msiba!rafiki yangu huwa anandoto za ajabu sana!
Anaweza kuota ndoto anachukua chakula kwenye friji....basi atatoka kitandani huku amefumba macho, yuko ndotoni, atafungua milango hadi jikoni atafungua friji na atachukua chakula atakula kisha anarudi kulala bila kujijua!
Sasa kilichotokea hapa guest house majanga!aliota yuko kwa bedi wanapeana raha na mhudumu wa hapa guest akatoka chumbani kwake akaenda mapokezi na ukizingatia mhudumu analala hapo mapokezi(anaweka godoro chini), jamaa kafika mapokezi akiwa ndotoni kafunua shuka kajilaza kwa mhudumu bila kujitambua!kasheshe mhudumu alishituka pale jamaa alipoanza kumshikashika akapiga kelele!jamaa kushituka akaivaa meza ya mapokezi kichwakichwa akapoteza fahamu.
Wageni wote tuliamka kumkuta yule rafiki yangu ilibidi nitumie kazi ya ziada kuwajulisha tatizo lake, bahati nzuri alitoka rum kwake hakufunga mlango na wallet yenye pesa nyingi ilikua kwenye meza chumbani ndo jamaa wakaamini.
Nashukuru tuko hospitali na fahamu zimeshamrudia!