ndoto nyingine bwana!!

Elijah

JF-Expert Member
May 28, 2012
1,663
416
kuna jamaa aliota ameokota gunia la pesa,katika kulibeba akagungua kuwa limetoboka na pesa zinadobndoka na pia akagundua halijafungwa juu hivyo likawa na matundu mawili,yaani juu na chini lilipotoboka,ikabidi kwa juu alishike kwa mkono mmjo na chini alizibe kwa mkono uliobaki.,lahaula ,kushtuka usingizini kumbe kajikaba shingoni na mkono mwingine kajitia kwenye t.u.n.d..u lake la h.a.j.a kubwa.
 
Ulikuwa ni wewe nini.....?
Sasa ulijuaje kama aliota hivyo? Maana ndoto huwezi jua mwenzio anaota nini!!
Pole sana..utaokota siku nyingine.
 
ugua pole ndugu yng......... hii inakuhusu moja kwa moja.......

hhaha dah uckate tamaa mkwanja utaunyaka tu.

vp kidonda kinaendeleaje..?
 
duu! ndoto zingine ziwakute nyinyi wenyewe kumbe ndio maana unasikia mtu kafa ghafla usingizini ilihali jana alikuwa mzima kisa kajikaba akijua anazuia mishiko! lol
 
siku nyingine ukiota ndoto ya namnahiyo niite nitakuletea kitu cha kuziba gunia huko chini
 
Endelea kuzba ili zicendelee kudondoka au nikuletee kizibo make dah naona hzooo znaisha............ayaaaa! Zba bac
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom