ESCORT 1
JF-Expert Member
- Dec 7, 2015
- 1,368
- 2,890
Shime kwenu wana ukumbi.
Leo nilikuwa na ubize Kanisani, hivyo nikiwa kama sehemu ya Kanisa kama muumini nilishiriki kikamilifu katika majukumu niliyopangiwa. Sasa nimerudi nyumbani jioni hii nikalala, wakati nikiwa usingizini imenijia ndoto ambayo imenitisha kidogo, kuna Mkuu wa Mkoa alikuwa anaapishwa kushika madaraka ya Wizara nyeti hapa nchini. Ila nimeshindwa kumjua Mkuu huyo kwani alipotaka kuapa tu ghafla nikashtuka na ndoto ile kupotea.
Je nini tafsiri ya ndoto hii, Je Mkuu wa Mkoa huyo ni nani? Je kuna ukweli wowote juu ya ndoto hii? Je ni kweli lisemwalo lipo?
Wataalam wa ndoto karibuni kwa mjadala