Ndoto inanitesa sana, naombeni msaada

kitoto wa vitoto

JF-Expert Member
Jul 28, 2019
360
389
Nawasalimu nyote ndugu zangu,

Mimi ni kijana umri miaka kati ya 28. Ni kijana niliyetaman sana elimu kwa bahati mbaya sana cjafanikiw kutimiza malengo/ndoto zangu kielimu. Ndugu zangu hawakunisaidia japo niliomba msaada wa kusoma kwa magoti huku nililia ila hawakunihurumia hata kidogo, moyo wangu ni jasiri niliunga unga kielimu japo sikufika mbali sana.

Jambo linalonitesa
Kila mara nyingi naota nafanya mtihani wa taifa wa kidato cha nne na mbaya zaidi muda unaisha kabla cjamaliza mtihani. Ndoto hizo naziota hata kwa wiki Mara 5 mfululizo pia naziota muda mrefu sana wa usingizi wangu sasa nikishaota nikizinduka nakosa amani na usingizi unaisha kabisa,


Ukweli hii ndoto inaniumiza cjui nifanyeje. Hii ndoto imenitesa kwa miaka 6 au 7. Dah naombeni msaada kiushauri zaidi

Nawatakien siku njema
 
Kwa hiyo form 4 umemaliza au bado?

Anyaway ukiwa hukohuko kwenye ndoto, usiamke hadi Necta watangaze matokeo

tuanzie hapo

Cc: Dk. Charles Msonde
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom