Ndoto iliyowatesa wengi inaelekea kutimia

Kiranja wa jamii

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2023
Posts
1,137
Reaction score
2,702
Baada ya lile jinamizi la Oktoba 29, watu wangi walioto ndoto za kutisha

Kuna waliowaona polisi kadhaa wakifungwa magereza kwa makosa yasiyo ya kwao,

Kuna waliolia kilio na kuomboleza ndotoni huku wakilikumbatia na kulibusu jeneza la kiongozi mmoja mkubwa sana

Kuna walioota wakiona mamlaka za watawala wa nchi wasiyoijua zikiyumba, viongozi wakivurugana, kuzushiana maneno na hata kudhalilishana hadharani

Lakini, katika zote kuna ndoto iliwasumbua sana watawala wa nchi isiyojulikana ya kuwatia hatiani wanaowasumbua na kuhakikisha wanafia magereza na wafuasi wao kusambaratika

Kila walipoota ndoto hii, kwasababu waliiota wote kwa pamoja asubuhi waliweka vikao vya majadiliano na kutafuta suruhisho la ndoto hiyo

Soma Pia: Rais Samia aunda Tume ya Uchunguzi wa Kijinai wa Matukio ya Ghasia za Uchaguzi mwaka 2025

Hatimaye wamepata wanachokiona ndo suruhisho! Kutengeneza mashitaka mazito mazito dhidi ya kila wanayemuhisi hayuko upande wao

Ndio, ni hakika na kweli kwao hilo ndio suruhisho waliloliona na katika kulitekeleza hawataona taabu kuwatoa kafara baadhi ya waliokuwa miongoni mwao. Ndio, usipotoa kafara utaaminikaje?

Mbuzi wa kafara wajiandae kisaikolojia watasurubiwa pamoja na hao waliolengwa

Ndoto ya muda mrefu ya kulisambaratisha kundi kubwa linaloaminika na kukubaliwa na wengi, wameshaihamishia kwenye mchoro wa makaratasi

Swali la msingi, wamepiga mahesabu yao vizuri? Wame "calculate the risks na wako tayari kuzi handle?

Sasa kumekucha na kumekucha na tume pacha ya ile ya Chande
 
nawaonea huruma sana maafisa wa baadhi ya AZAKI nchini walio husika moja kwa moja kupanga, kuratibu uchochezi, kutoa mafunzo ya kigaidi, vifaa vya mauaji na uharibifu na kutoa fedha kufadhili ghasia, vurugu, uharibifu na kusababisha maafa ya wananchi na watoto wasio na hatia,

huenda saivi wapo Pressure inapanda pressure inashuka, dah! Sijui itakuaje 🐒
 
Naomba watibuane wao kwa wao kwanza ndo linoge. Kuna mtu upande flan alisema ccm mda sio mrefu inaenda kupasuka mara mbilg watu wakaanza kukoment utumbo. Na hapa kulingana na huu uzi wajitayarishe kugawanyika coz hao mbuzi wa kafara lazima nao warudi upande mwingne na hawatakubali kufa kikondoo lazma watapetape pa kufia kwa kuanika tusiyoyajua hadharani. Acha nipambane na appendix kwanza
 
nawaonea huruma sana maafisa wa baadhi ya AZAKI nchini walio husika moja kwa moja kupanga, kuratibu uchochezi, kutoa mafunzo ya kigaidi, vifaa vya mauaji na uharibifu na kutoa fedha kufadhili ghasia, vurugu, uharibifu na kusababisha maafa ya wananchi na watoto wasio na hatia,

huenda saivi wapo Pressure inapanda pressure inashuka, dah! Sijui itakuaje [emoji205]
Akili hauna, aliyekuzaa anajipa moyo kwamba alizaa binadamu kumbe hakujua alizaa nyang'au mwenye sura ya binadamu.

Pole sana kwa aliyepata tabu ya kulea mimba miezi tisa na malezi ya utoto juu, maskini walikulea vizuri wakiamini utakuja kuwa mtu kumbe hawakujua wanapoteza muda wao bure

Laiti kama wazazi wangepewa uwezo wa kuona mbele watoto wao watakuwaje, kondom zingeadimika sana sokoni
 
muerevu relax na utulize mihemko nonsense na porojo zako useless,

okay?
kua na adabu kidogo plz 🐒
 
Kuna watu hapa FISIEMU wanakwenda kuwatoa Sadaka, Chawa Chungeni mnaenda kuangushiwa jumba bovu na wale ndugu zenu wasiokula mpaka Waue/Waibe.
 
Lakini, katika zote kuna ndoto iliwasumbua sana watawala wa nchi isiyojulikana ya kuwatia hatiani wanaowasumbua na kuhakikisha wanafia magereza na wafuasi wao kusambaratika
 
Mimi ninachoamini kila mtu atalipa kadiri ya matendo yake. Hivyo wauaji wote wajiandae. Zamu yao na wenyewe inakuja.
 
Hata wakiwafunga wasiyohusika bado wasiyopenda dhuluma wapo wengi wataendeleza pale wenzio walipoishia.
Suluhisho ni kuweka vitu bayana ili ukweli upatikane tofauti na hapo wakubali kulisambaratisha nchi kama Omar Al Bashir alivyoisambaratisha Sudan baada ya kukataa ushauri kutoka kwa wazalendo.

Inaelekea watu kusema "BASI TUKOSE WOTE ILI TUANZE UPYA".
 
Lakini, katika zote kuna ndoto iliwasumbua sana watawala wa nchi isiyojulikana ya kuwatia hatiani wanaowasumbua na kuhakikisha wanafia magereza na wafuasi wao kusambaratika
to every action there is reaction which is equal to that action, huko ni kuharibu zaidi kuliko kutengeneza na kuponya taifa
 
nawaonea huruma sana maafisa wa baadhi ya AZAKI nchini walio husika moja kwa moja kupanga, kuratibu uchochezi, kutoa mafunzo ya kigaidi, vifaa vya mauaji na uharibifu na kutoa fedha kufadhili ghasia, vurugu, uharibifu na kusababisha maafa ya wananchi na watoto wasio na hatia,

huenda saivi wapo Pressure inapanda pressure inashuka, dah! Sijui itakuaje 🐒
Chawa, muda wenu wa kutolewa kafara umefika, tulikuambia thamani yako ni kama toilet paper ukabisha, RIP Gentleman
 
Back
Top Bottom