Baada ya lile jinamizi la Oktoba 29, watu wangi walioto ndoto za kutisha
Kuna waliowaona polisi kadhaa wakifungwa magereza kwa makosa yasiyo ya kwao,
Kuna waliolia kilio na kuomboleza ndotoni huku wakilikumbatia na kulibusu jeneza la kiongozi mmoja mkubwa sana
Kuna walioota wakiona mamlaka za...
Tume iliyoundwa leo nina mashaka kama itakidhi haja. Haitaweza kumuhoji Samia Suluhu wa Makunduchi.
Mzee Mwanakijiji kasema;
1. Haiwezi kumhoji Rais kutokana na kuhusika kwake
2. Haina mwakilishi wowote (kwa sasa) toka Ofisi ya AG au DPP ili watengeneze kesi unless hawa nao wakitoa ripoti yao...
Kama alivyojidai mwenyewe kuwa Tume ya Jaji Chande ni yake yeye Rais Samia na kwamba watu hawana haki ya kuihoji,sasa ni wakati muafaka wa kuruhusu kualika Tume Huru za Kimataifa kuja kufanya uchunguzi wa nini kilisababisha mauaji ya kimbari yaliyofanywa na polisi wakishirikiana na vyombo...
Kichwa cha habari kiko wazi. Timu hii ya wazee wa hovyo haina maslahi ya nchi bali ya. muuaji mmoja aliyewateua. Ni aibu hadi sasa wanaamua kufanya uchunguzi kwa siri. Kwanini siri? Wanaficha nini? Na kwanini?
Yaani wenzako wanasema mchezo huu hauko fair mabadiliko yafanyike, Mwamuzi, Linesmen, Wasimamizi na wadau wote wameteuliwa na timu mojawapo, Unakataa, Unawaua na kutumia Nguvu kubwa kuwadhibiti, Baada ya ushindi wa Damu unarudi kuuliza shida iko wapi? Are you serious? Shida ni wewe! Waliofanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.