Kuna mkuu kanikumbusha kuhusu ndoto.. Kuna hii ndoto huwa wengi tumeipitia kama tulivyopitia darasa la kwanza NDOTO HII NI... UNAOTA UPO CHOONI UNAKOJOA KWA RAHA MUSTAREHE KUMBE UPO KITANDANI UNAKIACHIA KITU.. asa usiombe uote upo boarding school afu umelala decan
Hii ndio mbaya zaidi......:lol:mbona husemi kama ulishawahi kuota upo chooni unakata gogo?
Kuna mkuu kanikumbusha kuhusu ndoto.. Kuna hii ndoto huwa wengi tumeipitia kama tulivyopitia darasa la kwanza NDOTO HII NI... UNAOTA UPO CHOONI UNAKOJOA KWA RAHA MUSTAREHE KUMBE UPO KITANDANI UNAKIACHIA KITU.. asa usiombe uote upo boarding school afu umelala decan
ukichanganya na kauvivu kutoka nje kulimwaga,ndo kabsaa UNAJIOTESHA KWA LAZIMA...
Hahahaha hahhahha,Kila mmoja wetu hapa alishawahi kuota hii ndoto hata msizuge
Hahahaha hahhahha,
Usikumbushe bana lol!
hehe ndo ukweli huo mamie,nilikuwa nakasirika kweli nikiamka asubuhi maana godoro langu lilikuwa na bed cover nzito kweli na lazima ufue mwenyewe.Mpaka nikaacha kukojoa bila kupenda
Nakumbuka kuna siku moja niliota nimetoka kbs nikaenda chooni nikavua na kukojoa hee!!kumbe nimekojoa kitandan na usingizi ukanipitia sikujua,mama alipokuja kuniamsha trac suti iko chapa chapa ila nikawa nashanga mpaka nalia,hehe ndo ukweli huo mamie,nilikuwa nakasirika kweli nikiamka asubuhi maana godoro langu lilikuwa na bed cover nzito kweli na lazima ufue mwenyewe.Mpaka nikaacha kukojoa bila kupenda