muhuni mpya
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 300
- 166
Ndugu zangu naombeni msaada wenu kidogo hapa, leo nmeota nagombana nakikund cha watu, baada yakugombana sana tukajikuta wote tupo pembeni kila mmoja anaambiwa aluke ndani ya shimo hilo, nilefu sana unaluka kuna sehem unadaka alafu unaluka tena unakuwa umefika mwisho ukiluka vibaya vibaya unaumia, ilipofika zamu yangu mimi nkakataa kuluka yule mtu akawa ananlazimisha mimi nakataa muda huo nkashtuka usingizini, mgongon kwan k
Ok asante nmekuelewa, vipi umemalizia uko kipande cha piliNdoto ni ndoto haina ukweli wowote... Watakuja watu wakudanganye na utaingia na iman potofu.... Nakushauri potezea tu, kwa maana ndoto ni mawzo yaliyo usingizin tu..
ok asante nmekuelewa, vip umemalzia uko kipande chapil
Katika uandishi wako uwe unaacha aya...wasomaji tuelewe kiurahisi...
Hao watu uliokuwa unagombana nao unawakumbuka ni watu gani na una uhusiano gani?
Chanzo cha ugomvi wenu ni nini?.....unawakumbuka waliokuambia uruke shimo....?baada ya kushtuka kutoka ndotoni hali yako ikawaje pengine ulipata hofu au hukushtuka?
Na unakumbuka ilikuwa mida gani?
Katika uandishi wako uwe unaacha aya...wasomaji tuelewe kiurahisi...
Hao watu uliokuwa unagombana nao unawakumbuka ni watu gani na una uhusiano gani?
Chanzo cha ugomvi wenu ni nini?.....unawakumbuka waliokuambia uruke shimo....?baada ya kushtuka kutoka ndotoni hali yako ikawaje pengine ulipata hofu au hukushtuka?
Na unakumbuka ilikuwa mida gani?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndoto hii inakutaka uoe/uolewe simply kwa sababu muda uliotumia kui create ungekuwa unambebisha la azizi wako! Mnapata wapi muda wa kutengeneza script za ndoto bhanaa?
Kwa kuwa tuhuma alizotoa zinaonekana ni za jinai, kwanza aende kituo cha polisi, afungue jalada la kesi na kuchukua RB ili upelelezi uendelee wakati huo huo apewe PF3 ili apewe matibabu...Katika uandishi wako uwe unaacha aya...wasomaji tuelewe kiurahisi...
Hao watu uliokuwa unagombana nao unawakumbuka ni watu gani na una uhusiano gani?
Chanzo cha ugomvi wenu ni nini?.....unawakumbuka waliokuambia uruke shimo....?baada ya kushtuka kutoka ndotoni hali yako ikawaje pengine ulipata hofu au hukushtuka?
Na unakumbuka ilikuwa mida gani?
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji38][emoji23][emoji23]Kwa kuwa tuhuma alizotoa zinaonekana ni za jinai, kwanza aende kituo cha polisi, afungue jalada la kesi na kuchukua RB ili upelelezi uendelee wakati huo huo apewe PF3 ili apewe matibabu...
Pili avute subira ili ndoto ili ndoto ikijirudia atoe taarifa washukiwa wakamatwe!
Mkuu ndoto moja inaweza ikawa na tafsiri za kumi...ningeweza kufanya analysis katika maelezo yako ningepata mwanga zaidi...Hali yangu ilikuwa ni yahofu sana
inamaanisha kama una mchezo wa ku amber rutty uache maana dalili na wewe utaambarutiwa.Ndugu zangu naombeni msaada wenu kidogo hapa, leo nmeota nagombana nakikund cha watu, baada yakugombana sana tukajikuta wote tupo pembeni kila mmoja anaambiwa aluke ndani ya shimo hilo, nilefu sana unaluka kuna sehem unadaka alafu unaluka tena unakuwa umefika mwisho ukiluka vibaya vibaya unaumia, ilipofika zamu yangu mimi nkakataa kuluka yule mtu akawa ananlazimisha mimi nakataa muda huo nkashtuka usingizini, mgongon kwan k
Hiyo ni alarm ya mwil ili uamke ili aidha uende chooni au ulale vizuri kwani yawezekana ulikuwa kwenye position sio muafaka kwa mwili kwa wakati huo.Ndugu naombeni msaada wenu kidogo hapa, leo nmeota nagombana nakikund cha watu, baada yakugombana sana tukajikuta wote tupo pembeni kila mmoja anaambiwa aluke ndani ya shimo hilo, nilefu sana unaluka kuna sehem unadaka alafu unaluka tena unakuwa umefika mwisho ukiluka vibaya vibaya unaumia, ilipofika zamu yangu mimi nkakataa kuluka yule mtu akawa ananlazimisha mimi nakataa muda huo nkashtuka usingizini, cijajitikisa ata kidogo kuna kitu kikawa kinanichoma kati kati yamgongo alafu kama nlikuwa naulizw swal sababu sikumbuki naulizwa nin,kwahisia zakawaida tu pembeni kulikuwa kuna mtu , nilipoona nazid kuchomwa namaumivu yanazidi nkajitikisa kidogo najifunika shuka vizur kila kitu kikaacha kuamka nawasha taa hakuna kitu, asubuhi naamka mgongo unaniuma sana.
Msaada wenu tafadhal.
MmmmmhMimi nimeota nawangiwa na mtoto wa jirani yangu kiukweli sina uzoefu na mambo ya kiganga au uchawi ila nilimuona huyu mtoto akiwa kajipaka madawa meupe akawa kama ananitishia baada kumbikiza alikimbia kwa kupanda ukuta kama vile mjusi anavyonata ukutani lakini kilichonistua zaidi wakati nafungua mlango kwa ajili ya kumtimua huyo mtoto nikakuta kuna kikundi cha watu kama wanatibiana au wana wanga mbele ya mlango wa chumba cha jirani yangu hawa sikuweza kuwatambua lakini ilionekana kama ule mlango wa jirani yangu upo wazi kwamba alikua anashiriki ibada ile nilipowapigia kelele ndo nikajikuta nmestua sikua na maumivu yoyote zaidi ya taharuki na jasho jingi naomba kuwasilisha
Niloposhtuka usingizini, cijajitikisa ata kidogo kuna kitu kikawa kinanichoma kati kati yamgongo alafu kama nlikuwa naulizw swal sababu sikumbuki naulizwa nin,kwahisia zakawaida tu pembeni kulikuwa kuna mtu , nilipoona nazid kuchomwa namaumivu yanazidi nkajitikisa kidogo najifunika shuka vizur kila kitu kikaacha kuamka nawasha taa hakuna kitu, asubuhi naamka mgongo unaniuma sana.Mkuu ndoto moja inaweza ikawa na tafsiri za kumi...ningeweza kufanya analysis katika maelezo yako ningepata mwanga zaidi...
Jaribu kujibu hayo maswali mengine