Ndoto hii ina maana Gani?

LJ BLOG

Senior Member
Jul 24, 2011
194
154
Habarini Wanajamvi. Siku kama mbili nyuma mke wangu kaota amezaa kwa operesheni lakini mtoto ametolewa masikioni je hii ndoto ina maana gani?

Kwa wajuzi tafadhari naomba kuelimishwa katika hili
 
Haina maana yoyote.

Nadhani aliingia katika mawazo ya mimba au uzazi au mlikuwa mnaongelea habari hizo. Au anaujauzito
 
Back
Top Bottom