N'dorobo

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,456
Reaction score
872,090
Kuna post ya Kifyatu iliyouliza maana ya ndorobo lakini ikafungiwa, pengine ilitafsirika vibaya
Lakini ndorobo ni aina ya nzi wanaopatikana maeneo ya wafugani lakini vilevile kuna N'dorobo kabila ambalo lina asili na vinasaba na wamasai na watu pori na wameenea eneo lote Afrika mashariki na nje yake


Inawezekana kabisa imefungiwa kutokana na lile tangazo la Airtel, lakini mods wangeangalia kwanza trend ya majibu kabla ya kufikia kuifunga ile post....kwa mwendo huu naona hata neno lofa/malofa litatiwa kitanzi muda si mrefu
 
Last edited by a moderator:
Kama hii post isipofungiwa kwasababu tu ya neno ndorobo inaweza kuwasaidia wengi kujua maana halisi ya hilo neno tofauti na ile ya kwenye tangazo kwakuwa shule zetu nyingi za siku hizi ni majanga na JF imekuwa ni sehemu ambayo watu wanapata elimu na maarifa ya ziada kwa njia ya kuuliza na kuambizana
 

Ndorobo mdudu si huyo kwenye picha, huyo ni Mbung'o!
Sifa ya ndorobo akituwa kibuno chake anakiweka juu na ni mwembamba kimaumbile!
 
Ndorobo mdudu si huyo kwenye picha, huyo ni Mbung'o!
Sifa ya ndorobo akituwa kibuno chake anakiweka juu na ni mwembamba kimaumbile!

Nafikiri ni jamii moja yani sawa na nzi wa kijani/kimungu yule wa chooni na wale wadogo wa majumbani
 
huyo ni mbung'o au tse tse fly huyo ndorobo sijui tasfsiri yake

Mziki wa mbung'o achana nao yeye hanyonyi damu balaa lake ni kama nyuki yani ukisikia ule mvumo wake kama wa Alteza ukikata tu subiria maumivu.
 
Mziki wa mbung'o achana nao yeye hanyonyi damu balaa lake ni kama nyuki yani ukisikia ule mvumo wake kama wa Alteza ukikata tu subiria maumivu.

Au subwoofer la mchina Halafu mziki ni wa msaga sumu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…