NDOOROOBO kabisa,kwendaaaaa hukoo

NDOOROOBO kabisa,kwendaaaaa hukoo

maatope

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2013
Posts
1,422
Reaction score
958
1.jpgmandorooboo kabisa haya,mavi ya kuku na li Rais feki la chama cha soka mbofumbofu
kuliko ulipe kiingilio cha kuyaona haya mandorobo bora ununue gazeti ujipepeee
 
wamefungwa 3-0 na Uganda huko zanzibar ,kocha feki katolewa nje ya uwanja chini ya ulinzi wa polisi sababu alitaka kupigwa
mandorooobooo

Duh ndio hiyo match nilisikia watu waiongelea

Kweli kichwa cha mwendawazimu
 
Pumbavu sana hawa.inatakiwa wapelekwe kambini kwanza wakapate somo la uzalendo.kama walivyofanyiwa jamaa wa nchi gani sijuwi kule west africa.
 
Litimu la ovyo sana ni bora tuifanye Ndanda FC ndo iwe timu yetu ya taifa kuliko hili la sasa
 
Back
Top Bottom