Ndoo yako ya kuogea unaisafisha mara ngapi?

Bado kuna watu wanaoga na ndoo? Labda kijijini. Haya maji ya Dawasco ni shower tuuuu 15 minutes and the body becomes very fresh.
 
Kila nimalizapo kuoga huwa naisafisha.
Nimeamini kweli kua uyaone!! sasa uchafu unatoka wapi mle kwenye ndoo ya kuogea jamani!!! wakati inatumika kwa maji Masafi??? kopo lisafi!! ndo maana mnaoga mara7 kwa siku duuu!! ndoo ya kuogea kwa sababu mko chemba sirini...

Mnanyea humo au!!
mnakojolea humo!
,mnatema mikoozi ya njano ile!! kila mtu na siri yake sirini leo ndo tumejua!!
sijui hata inakuwaje inachafuka ni maajabu ya Musa!!
Humu watu wengine siyo binadamu jamani!!
uchafu utatoka wapi mle ndooni?? enhee!!
kweli kuna watu wachafu duniani unachafua mpaka ndoo inayokuosha binafsi mpyutuuu!!! sasa umeoga nini!!

ndo maana nasikiaga mara mtu ajigoe bafuni, ateme mikoozi, ajambe kuuumbe hayo yote ni ndani ya ndoo? tena muoshege na sabuni kabisa Msugue haswa! kila ndoo muipumzishe siku 3 juani ikauke!! then ndo itumike tena!

au umekosea unaisuuza!!! ... hata chupi yenye bleeding haichafuagi ndoo kihivyo!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom