Ndondi si lelemama

Wazungu ni watu wahuni sana! Yaani mnapigana halafu mnapata hela?
 
katika michezo ambayo siipendi duniani huu unaongoza, mchezo lengo lake ni kukufurahisha
 
halafu akifika nyumbani anakuta wakwe na mashemeji wamerundikana kwenye Dining table wanakamua misosi na kukenua mimeno na bado wanataka mahitaji ya kuendesha maisha yao, kudadeki naoa wote.
Watu mna vituko jamani!!!!
 
Wanaume watakula kwa jasho lakin wanawake watazaa kwa uchungu!
Pole sana kaka, siku hizi mambo yamegeuka maana wanawake wanakula kwa jasho na wakati huo huo tunazaa kwa uchungu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…