Ndondi si lelemama

Bingwaman

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2010
Posts
548
Reaction score
288
Masumbwi katika picha. Pata kichapo upate pesa.
 

Attachments

  • HBBSO2o4_Pxgen_r_1100xA.JPG
    106.3 KB · Views: 250
  • image-1-for-it-s-a-knockout-gallery-128606449.jpg
    21.7 KB · Views: 294
  • boxer-punch_2048272i.jpg
    34.3 KB · Views: 325
  • vitali_klitschko_shannon_briggs.jpg
    94.8 KB · Views: 249
  • 004.jpg
    41 KB · Views: 206
hahahahhaha...eti hapo baba yupo kazini

halafu akifika nyumbani anakuta wakwe na mashemeji wamerundikana kwenye Dining table wanakamua misosi na kukenua mimeno na bado wanataka mahitaji ya kuendesha maisha yao, kudadeki naoa wote.
 
Ukitaka kujua uanamme kazi, huyo naye anahonga sente alizopata kwa hayo makonde
 
Nimecheka sana jamani,kweli kabisa ukirudi home na hasira za kichapo utafukuza ndugu woote wa kuhemea hemea!
 
hahahaha.......kweli mkuu
halafu akifika nyumbani anakuta wakwe na mashemeji wamerundikana kwenye Dining table wanakamua misosi na kukenua mimeno na bado wanataka mahitaji ya kuendesha maisha yao, kudadeki naoa wote.
 
halafu akifika nyumbani anakuta wakwe na mashemeji wamerundikana kwenye Dining table wanakamua misosi na kukenua mimeno na bado wanataka mahitaji ya kuendesha maisha yao, kudadeki naoa wote.
kwanini wakwe na mashemeji mkuu........
 
Wanaume watakula kwa jasho lakin wanawake watazaa kwa uchungu!
 
Hayo makonde yote wanayopokea ukifuatilia vizuri utakuta lilikuwa PAMBANO LA KIRAFIKI.
 
mido inageuka kama mipira chezea machinga wewe.ooh sorry makonde
 
Nachoka zaidi mnapoita huu nao ni mchezo!
 
Na hizi je? Masumbwi yanalipa, lakini maumivu yapo palepale.
 

Attachments

  • 268732-boxing-pictures.jpg
    69.3 KB · Views: 53
  • TarvervsAguliera.jpg
    268 KB · Views: 37
  • REU-BOXING-.jpg
    127.2 KB · Views: 37
Nimeshaacha wosia, katika familia yangu mtu yoyote asijihusishe na mchezo huu. Sihitaji kufa na presha.
 
mmh hivi ukitaka kuanza mchezo huo wa ngumi lazima uwe na hasira kwanza au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…