Ndoa zina matukio jamani

Haha hivi kwanini uwa mnalazimishia mambo? Upweke how? Pengine labda sikuelewi..


Vitunguu means most of the times mtu anakutoa machozi, anakukasirisha.. tabia za kitunguu ukikikata.
 
Kila mtu anavutia upande wake mkuu, ndio maana ya argument mkuu. Mimi nasimama na ndoa, pamoja na mapungufu mengi yaliyopo katika ndoa, hakuna kitu kizuri kama ndoa.
 
Kama wiki ni kweli shida ila Kwa siku mojamoja na mm muhanga movement za nje zinahesabika
Unaenda nje kufanyaje auntie na hili jua 🤣
Kaa ndani
Check movie
Piga wine sijui maji
Akili ikichoka kuangalia movie, nenda kwa Amina mkapate dinner.
Kama boyfriend ni wa long distance, kama yuko hapo hapo mfate mkacheze karata.

Eti single tuko lonely?? Nautafuta ulonely siuoni mie!?
Kuna siku kweli unachoka kukaa ndani.. nishawahi panda bus hadi Moshi, nikafika nikala nikarudi Arusha 🤣🤣
 
Haha hivi kwanini uwa mnalazimishia mambo? Upweke how? Pengine labda sikuelewi..


Vitunguu means most of the times mtu anakutoa machozi, anakukasirisha.. tabia za kitunguu ukikikata.
Naamini hivyo, naamini maisha ya kuishi peke yako yanazaa upweke, hakuna raha ya kulala na kuamka peke yako, sitaki kulazimisha kuaminisha watu hivyo, nasimamia ninachoamini mkuu, tofautisha.
 
Mfano ERoni
Ukute hapo hayupo nyumbani… mkewe kabaki na upweke 🤣🤣

Ndoa ambazo hazina vitunguu hao labda ndio hawana upweke. Wkend wanatoka na watoto, ama wanakuwa busy na usafi nk
Au ukute anafurahia kutokuwepo kwake nyumbani na kutamani asirudi haraka.

Walio single ndani ya ndoa ni wengi sana na sonona yao ni next level.
 
Kweli kabisa Huwa nashinda ndani nacheck movie napika nakula nachat wee nikichoka napakua Tena chakula nakula 😂😂😂awe u single raha sana
Mm hapa Leo nawaza nitoke tu nitapoishia nitajua hukohuko 😂😂😂

😂😂iyo nimeipenda ni kutoka tu 😂😂
 
Ndio unisaidie kushangaa. Huko ndiko kunakoongoza kwa wapweke pia.
Una uhakika gani kama kwenye ndoa kunazalisha upweke? Nineishi single so naweza kuongelea maisha ya usingo. Ups na downs za ndoa hazimaanishi kuwa basi wanandoa wanaishi ugumu all the time. Ila knowing unalala na kuamka kama wewe, huna mtu wa ubavu wa kushare issues bunafsi, huwezi kupanga na kupangua na mtu wako, hupati papa kila ukiitaka, yani hadi appointment 🤣🤣 huo ndio upweke kwa tafsiri yangu
 
Mfano ERoni
Ukute hapo hayupo nyumbani… mkewe kabaki na upweke 🤣🤣

Ndoa ambazo hazina vitunguu hao labda ndio hawana upweke. Wkend wanatoka na watoto, ama wanakuwa busy na usafi nk
Sipo nyumbani mda huu, lakini pia kuwa home hakunifanyi niwe naongea na huba wangu mda wote, kuna ma wa kuongea, kucheka na kuchapana, kuna mda wa kuangalia kina Depal wanasemaje🤣🤣🤣
 
Inaonyesha kuishi kwako single kulikupa experience mbaya 😂😂

Kama chanzo cha furaha zako zinachagizwa na watu wa nje, hapo lazima uone moto kuishi mwenyewe. Ila kama umejijenga na hobbies zako, mbona ni raha sana kuishi single.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…