Inategemea.Kwa kuwa everything looks miserable, a life alone is a lonely life.
Inabidi uwe na logic kumpata ππππWatu Hao sikuhiz ni nadra kuwapata
Hayo ni matokeo Sasa inategemea lakin imagine mke kapika chakula watoto wamekula wamelala saa mbili usiku anakupigia simu napitia Kwa rafikiyangu maramoja Lisaa anarud saa nne usiku hiv uispokuwa chiz utaweza πππNa mwisho wa siku yakikufika Yule mbabe anashangaa huyu si zuzu langu jamani haliwezi ishi bila Mimi wa logic ππ
Shida ya watu wa logic wapo serious sana kilakitu maelezo ππInabidi uwe na logic kumpata ππππ
Mrangi wapi, BabyCare ya MonduliWe si umetoka kuoa Mrangi juzi tu hapo.
Hamisi Eeeh kuwa serious bhasi mwanetu.
HatareeπNimeelewa vema
Machinjioni sio pa kuweka makazi π
Ni kweli huwezi kumpata aliyekamilika kwa vile unavyotakaNdugu usifanye hilo kosa la kuingia na akili namaanisha unaoana na mtu hamfanani chochote hawez kuwa unavotaka Sasa ukitaka utimamundo utaharibu inabid nawe ulegeze fuvu
unafurahisha sanaRoho ngumu tayari ninayo, bado kujipanga na kumpata kitunguu wangu. Tuwe tunalizana kwa kupokezana
Lazma ujione wewe huthaminiki hata ujitahidi vipo, mwisho unaanza kupile up na mengineyo madogo yajayoHayo ni matokeo Sasa inategemea lakin imagine mke kapika chakula watoto wamekula wamelala saa mbili usiku anakupigia simu napitia Kwa rafikiyangu maramoja Lisaa anarud saa nne usiku hiv uispokuwa chiz utaweza πππ
Masai dada hanifichi kitu Mimi.Mrangi wapi, BabyCare ya Monduli
Not all of them...wengine kama waelewa wanapunguza userious kidogo waendaneShida ya watu wa logic wapo serious sana kilakitu maelezo ππ
muongo, wakati nalala kama panga lililotupwaMasai dada hanifichi kitu Mimi.
Kijana Sasa hivi mnalala KE + ME bed moja. Unainjoi π
muongo, wakati nalala kama panga lililotupwa
Maisha hayataki userious sana πLazma ujione wewe huthaminiki hata ujitahidi vipo, mwisho unaanza kupile up na mengineyo madogo yajayo
Hakuna sehemu nafutahia kuwepo km geto naweza nisitoke hata wiki maana nakua nafanya mambo mengi ya maendeleo yangu kuliko sehemu yytKuishi tu alone kuna changamoto nyingi, yaani alone pale ghetto kwako kuna changamoto kibao, kuna wakati hata hutamani kurudi ghetto, japo upo mwenyewe...
...iwe ndoa au single, bado maisha yana changamoto nyingi sana.