Kwa hiyo tunachekana [emoji23][emoji23][emoji23] sehemu nayo enjoy ni kwenye Mahusiano tu na yenyewe nilishayawekea Sheria & Mashariti.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji106][emoji3531]
Aisee,hawa watu hata kuwafikiria Kwa sasa sitaki....Kila mtu apambane na hali yake....Kabisa ni kupambana tu kulea watoto na muda ukifika utapata wako inshallah 🙏
Waliopo single wanajua mkuu, single 24/7 mwaka mzima? Huo nao ni ulemavu...Kisa na mkasa?
🤣🤣🤣🤣Tupo pamoja mkuu 👊Kwa hiyo tunachekana [emoji23][emoji23][emoji23] sehemu nayo enjoy ni kwenye Mahusiano tu na yenyewe nilishayawekea Sheria & Mashariti.
Tena nyie ndo mnakimbia asubuhi 😂😂😂vitunguu vya karne hii viko updated Yani ukikishika tu kilio😂😂😂Roho ngumu tayari ninayo, bado kujipanga na kumpata kitunguu wangu. Tuwe tunalizana kwa kupokezana
Binafsi Moyo wng hautamani Kula Vibaya sema ni Maisha tu yamefanya iwe hivyo. Siku nikizipata naanza kujenga Mwili kabla ya NyumbaSikia Mr Jobless Ngoja upate AJIRA SASA tuone kama hautatamani kula maini walau siku moja moja [emoji2957]
Dua Kaka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tupo pamoja mkuu [emoji109]
Hahaha...................sisi tuliozaliwa zamani tulikuwa tunasema "mwili haujengwi kwa matofali"Binafsi Moyo wng hautamani Kula Vibaya sema ni Maisha tu yamefanya iwe hivyo. Siku nikizipata naanza kujenga Mwili kabla ya Nyumba
Polesana muda ndio tatibu mzuri cuteAisee,hawa watu hata kuwafikiria Kwa sasa sitaki....Kila mtu apambane na hali yake....
Thanks [emoji120]Hahaha...................sisi tuliozaliwa zamani tulikuwa tunasema "mwili haujengwi kwa matofali"
Wishing you all the best
AmiinPolesana muda ndio tatibu mzuri cute
Noma sana!KIPANDE CHAKO.
Bwana Ralph Hart anasimulia: Hapo kale ilivyokuwa katika uumbwaji, wanawake na wanaume hawakuwa wametengana kama walivyo hii leo. Kiumbe alikuwa mmoja, mwenye mwili na shingo, lakini kichwani alikuwa na nyuso (sura) mbili, zenye uelekeo tofauti. Ilikuwa kana kwamba ni viumbe wawili waliogundishwa pamoja, wakiwa na jinsi (sex) mbili tofauti, pamoja na mikono minne na miguu minne.
Kwa fikra zao, miungu wa Kigiriki wakajawa wivu, kwamba kiumbe huyu mwenye sura mbili (anayeweza kuangalia mbele na nyuma), alikuwa na umakini mkubwa usiokumbwa na mshitukizo wa kitu; pia miguu na mikono minne vilimfanya aweze kusimama muda mrefu na kufanya kazi bila kuchoka. Mbaya zaidi, kwakuwa kiumbe huyu alikuwa na jinsi mbili, hivyo hakuhitaji kutafuta mtu mwingine wa kushiriki naye 'tendo' kwa ajili ya kuendelea kuzaana.
Siku moja kiongozi wa miungu hao alisema: "Nina mpango wa kukipunguzia nguvu kiumbe hiki."
Ndipo akakitenganisha kiumbe hicho, na kupatikana viumbe wawili; mwanaume na mwanamke. Pamoja na hatua hiyo kupelekea ongezeko kubwa la watu duniani, lakini pia ilimfanya mwanaadamu kwa kupungukiwa kipande muhimu cha sehemu ya mwili wake, kiasi cha kumfanya awe dhaifu na mwenye kuhangaika kila uchao kukitafuta kipande chake ili kukisogeza na kukifumbata (walau) karibu, ili kujirejeshea ile nguvu yake ya asili, kurudisha utulivu na kuondoa uwezekano wa usaliti, pamoja na kuitwaa tena ile nguvu ya kusimama muda mrefu, kuwa na umakini, na kufanya kazi bila kuchoka.
Hali hiyo ya kutafuta kipande muhimu kilichoondoshwa, na kujaribu tena kujikumbata pamoja, kitu ambacho tunaona miili ya wanaadamu (mke na mume) kama vile inashindwa tena kuendana, ndio leo tunaita 'tendo la mapenzi'.
Kwa mtazamo wangu: ukiona kila unavyojaribu kumshika na kumfumbata karibu mwenzi wako, ili kumrejesha karibu yako kama sehemu ya kipande ulichotenganishwa nacho, lakini mwenziyo haelekei wala hashikamani - achana naye - hicho kipande pengine hakikutoka kwako. Ni kama vile, umeokota betri ya simu ya Nokia kisha ukataka kuiweka kwenye simu ya Sumsung, simu haitowaka kwa sababu umeiwekea kitu (betri) kisicho chake. Mtu wa maendeleo, akikipata kipande chake—basi kwa shida na raha watafikia malengo. Na mtu wa anasa naye—kipande chake kuna sehemu kinamsubiri ili wakishaungana wanyooshane. Using'ang'anie kipande kisicho chako. Kitupe haraka.
Wacha weeVita ni vita.
Vita ya kujitakia, utadhani tumelazimishwa kuwa pamojaWacha wee
Nimeelewa vema🤣🤣🤣🤣 Kuchinjwa mjomba🤣🤣
Yaani kwako usitamani kurudi? Kwakuwa yupo nani anayekukera?Waliopo single wanajua mkuu, single 24/7 mwaka mzima? Huo nao ni ulemavu...
Hii ndio plan yangu[emoji16]Binafsi ninaishi kwenye ndoa yenye raha sana,mke wangu hana maudhi asante sana Mungu.Nimeanza kuishi naye tangu sina hata mia na hakuwahi kunionyesha dharau.Usioe ukiwa na hela tafuta mke ukiwa hauna kitu utanikumbuka.
Hata ukichukue kwenye sagula aka fungu kujiweka kwa shelf kinapanda bei eti...😂😂Tena nyie ndo mnakimbia asubuhi 😂😂😂vitunguu vya karne hii viko updated Yani ukikishika tu kilio😂😂😂