Ndoa zina mambo jamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndoa zina mambo jamani

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by BASIASI, Sep 27, 2012.

 1. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #1
  Sep 27, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,111
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Baba mmoja alikuwa ofisini gorofa ikawaka moto
  aliporudi nyumbani akamhadithia mkewe jaman yaani nisingekuwa hapa mke wangu
  gorofa letu limeungua lootee wamekufa woteee nimepona mie tu mke wangu
  lakini wote waliokufa ndugu zao wanalipwa million ishirini

  mke akakenda chooni na kusema huyu baba mjinga kweli sasa si angekufa tu tule hiyo million 20
  jamani.....
   
 2. promiseme

  promiseme JF-Expert Member

  #2
  Sep 27, 2012
  Joined: Mar 15, 2010
  Messages: 2,715
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 135
  Hakifai lakini kinapumbaza...
   
 3. kalou

  kalou JF-Expert Member

  #3
  Sep 27, 2012
  Joined: Aug 22, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 997
  Trophy Points: 280
  Ulivyoweka fb watu walicheka ee?
   
 4. L

  Laaziz Member

  #4
  Sep 28, 2012
  Joined: Sep 26, 2012
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mmh! hamna kitu cha maana
   
 5. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #5
  Sep 28, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Yuko kipat time kwani wamefunga ndoa hao?
   
 6. Wi-Fi

  Wi-Fi JF-Expert Member

  #6
  Sep 28, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,070
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  jokes forum!
   
Loading...