Ndoa zina mambo jamani

Ndoa zina mambo jamani

BASIASI

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Posts
9,732
Reaction score
5,010
Baba mmoja alikuwa ofisini gorofa ikawaka moto
aliporudi nyumbani akamhadithia mkewe jaman yaani nisingekuwa hapa mke wangu
gorofa letu limeungua lootee wamekufa woteee nimepona mie tu mke wangu
lakini wote waliokufa ndugu zao wanalipwa million ishirini

mke akakenda chooni na kusema huyu baba mjinga kweli sasa si angekufa tu tule hiyo million 20
jamani.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom