Aaaaaa wapi hamna lolote nyie wababa,tena hayo uliyoyaongea sio kweli kabisa yaani mwanaume ajue mkewe anatoka nje afu anyamaze tu eti kisa atajiaibisha labda kama sio mwanaume!!!!!!!! unatolewa uhai wallahi kama sio kiungo kimojawapo cha mwili au kuharibiwa reception wanayodaigi eti ndio inawapa wake zao viburi,mnakuwaga wakali pilipili kichaa nyuma kwanza ukimuona wife kasimama na mkaka tu siku hiyo utauliza maswali hata yasiyoulizika,kila ukitoka kazini cm ya mkeo inachukuliwa kuzipigia namba ngeni,weeee mwanaume kabisa anyamaze sijawahi kuona,ila wenyewe wasimame hata na wasichana kumi kwa siku muulize uone anavyokuja juu,narudia tena mnaonaga mnayoyafanya nyie ni mazuri tu ila yasifanywe na wenzenu mnaumia kupita maelezo mkuki kwa nguruwe............chezeya wababa sio watu!!!!!