kapistrano
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,244
- 455
Hili la kwenye red ni lakulitafutia dawa hakuna jingineQn. 1 Yes.
Qn. 2 No
Qn. 3 I always do my best but sababu ya dharau zake huwa ugomvi wowote haupati suluhisho. She never says Sorry.
Qn. 4 Kalelewa na wazazi na wote wawili wako hai.
NB. Wazazi wake wana hali nzuri kiuchumi kuliko wangu. Lakini wakwe zangu wananiheshimu na kunipenda.
Nilidhani wenye elimu ndio wenye viburi...pole kaka; hiyo ndio tabia yake jifunze kuizoea; kama ana maneno ya kejeli wewe mpotezee tu...huwezi jua unaweza oa mwenye tabia mara mbili ya hizo.
Nimeshangaa kukataa msiongozane...mkeo ana mvuto sana nini??? Na wewe una kitambi nini??? (natania)
Haya mambo ya kukimbia kuongozana na mwenza yako sana upande wa wanaume...sasa nikiona mke anamkwepa mumewe napata shida saaana kuelewa...ni more likely kuwa anakuona si wa type yake.
Ongeza dozi kitandani...
na vibao vya kelbu kama unavijua vitumie siku moja moja
ni bonge. Kamoja tu analalamika amechoka.
.
Suluhu ya mwanamke limbukeni ni kumpotezea basiiiiiiii. akisema ndo kwanza unafungua mlango unaondoka. hakuna kumwambia tutoke wala nn. wanao ukitaka kuwafundisha mnaingia chumba unafunga mlango kwa fuguo.
unatakiwa umpotezee awe kama fenicha tu uko ndani kwako.
Yaani nimecheka hadi basi. Sipati picha mnafanya homework na wanao afu mke anachungulia anangojea anaeenda chooni ili aingie. Hahahaha, kwa sifa za huyu mwanamke hakawii aisee.
Hili la kwenye red ni lakulitafutia dawa hakuna jingine
Hizi ndoa hizi!!! Mmmh!! Hebu jiangalie kama waweza kujibadilisha ww uendane na mazingira maana kumbadilisha mtu ni kazi sana.
nyumba kubwa dada mkubwa acha kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa huyu kaka simply mkewe ni LIMBUKENI wa maisha.
huo ugomvi ujue anautaka ili aonekane nae yumo, visirani ni kwasababu ana seek attention yako. kimsingi anajijua kabisaaa kwamba yeye ni wa fungu la kukosa ila sasa afanyeje ili aonekane?? lazima atafanya haya.
hujawah kuskia methali 'DEBE TUPU HALIKOSI KUTIKA?" sasa ndio uhalisia wa kinachotokea kwako.
mambo ya The Boss mwongezee dozi sijui mpe kelebu sio suluhu hata kidogo.
Suluhu ya mwanamke limbukeni ni kumpotezea basiiiiiiii. akisema ndo kwanza unafungua mlango unaondoka. hakuna kumwambia tutoke wala nn. wanao ukitaka kuwafundisha mnaingia chumba unafunga mlango kwa fuguo.
unatakiwa umpotezee awe kama fenicha tu uko ndani kwako.
hauna lolote wewe una mwanamke mwingine ndio unaona hizo kasoro,JIBADILISHE KWANZA WEWE NDIO UANZE KUTOA KASORO KWA MKEO MPENZI ULIYEMCHAGUA MWENYEWE.Heshima kwenu wana JF nyote.
Ukweli nahitaji sana msaada wa mawazo yenu. Mimi nimeoa na nina watoto 2. Tatizo kubwa ni huyu mama-watoto wangu. Ukweli ananifanya niujutie uamuzi wangu wa kumwoa. Na hakika kama ningejua ndoa yangu ingekuwa hivi, kamwe nisingemuoa na pengine nisingeoa kabisa. Kwa miaka 8 yote nimeishi kwa kuvumilia tu lakini kero mtindo mmoja. Mwanamke mbishi,mwenye dharau, mgomvi, mwenye kupenda kushindana, hana shukurani na neno "samahani" ni mwiko kwake. Akikosa badala ya kuomba radhi utamsikia "kwani wewe hukoseagi?" Ni mchokozi, mjuaji na asiye na dogo na asiye na unyeyekevu kabisa. Hapendi tuongozane njiani na wakati mwingine anaanzisha ugomvi au ubishi barabarani. Anakosoa karibu kila ninachokifanya. Mfano nikileta mboga nyumbani utasikia "sasa ndio nyama gani umeleta?" tunapokwaruzana kwa maneno, anataka ninyamaze yeye aseme na awe wa mwisho kusema. Mimi ni mwalimu na yeye ana elimu ya drs la 7 ila ninapowafundisha wanangu nyumbani yeye hujifanya anajua zaidi yangu na kusema nawapotosha watoto akitaka niwafundishe anavyotaka yeye. Mara kadhaa nimewahi kumwambia kuwa asipojirekebisha nitamrudisha kwao lakini mkubwa yuko drs la I na mdogo chekechea. Ukweli naumia sana na mwanamke harekebishiki. Nifanyeje jamani?
Nafikiri mkeo ana frustuation Fulani hivi; labda expectation zake hazijawa met. Umesema ametoka kwenye familia inayojiweza, na hajasoma is it because hakutaka au familia yake ni wafanyabiashara wa zamani ambao hawakuona faida ya elimu?
Bila kuona maana ya maisha yake, ataendelea kuwa bitter; wazo lako la kumfungulia biashara ni zuri by the way.