Ttafiti uliofanywa ndoa za watu zinavunjika sana na hata wafanyakazi wengine kupoteza pesa zao kwa utapeli uliyojitokeza tegeta kwa ndevu stand kuna kamali inayochezwa kwa mfumo wa kuwaibia wakina mama na watu wenye upeo mdogo wa kutafakari kuwa inawezekana vipi pikipiki kuinunua kwa shilingi 200?
Au music system kuinunua kwa sh 500 huo mchezo uchezeshwa pale tegeta stand na wale watu wanakuwa na watu wao wenye pesa walio waandaa vyema wakicheza wao ufanikiwa kushinda bahati na sibu hiyo lakini akicheza mwingine ambaye siye wao huyo huliwa pesa zake hasa wakina mama wanaokwenda sokoni kujipatia mahitaji yao ya kila siku na ikitokea amerudi nyumbani bila mboga baba ianzishha balaa lingine kwa kuvunja uhusiano kwa hiyo tunaiomba serikali kulichunguza hili au wahusika kutusaidia kuwaondoa matapeli pale Tegeta
Sasa hiyo ni kamali,sheria za tanganyika zipo wazi,hapo akuna polisi kata? Akuna diwani? Akuna police post?Ok at this time nipo kwenye party ya JF Arusha.ningekupa dawa ya hao wachezeshaji kamari.tuwasiliane kesho

sawa chipukizi police wapo lakini wamekuwa wanakula na wachezesha kamali hao wakikamatwa na kupelekwa police mkiondoka nao wanatolewa na kuendelea na kazi zao hakika inakera sana