Wacha wivu, learn from the best, mwenzio natumia mbinu mbili matata sana .
Natumia maneno machache tu kutongoza_ nauliza kwa sauti ya Polisi, umeorewa au unapiga piga umaraya.
Na Nikitaka njunji naamrisha tu, rara nikurenge
Kama...Inategemea na tabia ya mtu.
Hii niliwahi kuisikia pia mkuuInasemekana wengi wao si wasikivu wala utii kwa mme hamna kutokana na emancipation through education
Kuna ambao wapo hivyo kweli. Na kuna ambao hawapo hivyoLakini ndio wanajifanya wanajua kila kitu kwa sababu huwezi kuwayumbisha na elimu zao, si ndivyo?
unawashangaa wakat hao bdio ndoa zao hudumu!!!Me huwa najiuliza,ndoa za watu ambao hawajaenda vidato huwa ziko vipi?maana naona kama zimekaa kipori pori flani hivi.
ni ukweli usio pingika kuwa ukioa mtu alo soma you are likely to get difficulties kuliko ambaye hajasoma, nadhan wanawae walio soma huwa wanapoteza ile sense ya kuwa wake au mama kwenye familia.Hiyo ni dhana iliyo jengeka tuu kama ilivyo kwenye makabila...
Kwa mie tabia ya mtu haiangalii usomi, kabila, dini, utajiri au umaskini..
Wapo walioolewa ni wasomi wametulia na wengine hawajatulia, na ambao sio wasomi vile vile wapo waliotulia na wengine ndo vile tena..
Kama muoaji kigezo na usomi Sidhani kama ndo kinampa mtu mke mwema au la... Yapo mengi saana ya kukufanya uwe na umpendae
Rekebisha mwandiko uelewekeni ukweli usio pingika kuwa ukioa mtu alo soma you are likely to get difficulties kuliko ambaye hajasoma, nadhan wanawae walio soma huwa wanapoteza ike sense ya kuwa wake au mama kwenye familia.
sema zipo kesi chahce za walo fanikiwa so si jambo la moja kwa moja kujumlisha
Na ieleweke kuwa hamna ndoa isiyo na changamoto, iwe ya msomi au la..ni ukweli usio pingika kuwa ukioa mtu alo soma you are likely to get difficulties kuliko ambaye hajasoma, nadhan wanawae walio soma huwa wanapoteza ike sense ya kuwa wake au mama kwenye familia.
sema zipo kesi chahce za walo fanikiwa so si jambo la moja kwa moja kujumlisha
Me huwa najiuliza,ndoa za watu ambao hawajaenda vidato huwa ziko vipi?maana naona kama zimekaa kipori pori flani hivi.
Ni kweli ila ndoa nyingi za wasomi asilimia kubwa zinahitaji uvumilivu na moyo kama wa Ayubu.Kama hayo hukujaliwa weka mbali na watotoNa ieleweke kuwa hamna ndoa isiyo na changamoto, iwe ya msomi au la..
Tatizo linakuja Unapokuwa na mawazo hasi kuhusu wasomi..Ni kweli ila ndoa nyingi za wasomi asilimia kubwa zinahitaji uvumilivu na moyo kama wa Ayubu.Kama hayo hukujaliwa weka mbali na watoto
Inasemekana wengi wao si wasikivu wala utii kwa mme hamna kutokana na emancipation through education
Bujibuji punguza hizo 'R' ni nyingi mno bro. Umeorewa =Umeolewa, Umaraya-umalaya, Rara =lala, Nikurenge=Nikulenge. Usipo zibadilisha faiza fox atakuja kukutoa kasoro sababu yeye ndiye mkufunzi mkuu wa Kiswahili wa JF🙂Wacha wivu, learn from the best, mwenzio natumia mbinu mbili matata sana .
Natumia maneno machache tu kutongoza_ nauliza kwa sauti ya Polisi, umeorewa au unapiga piga umaraya.
Na Nikitaka njunji naamrisha tu, rara nikurenge
kama hujanielewa maneno kwa kukosea maneno mawiliRekebisha mwandiko ueleweke