dokolombwike
JF-Expert Member
- Oct 18, 2012
- 373
- 623
Je ni kweli wanawake waliopitia jando,wanaweza sana mapenzi kuliko wale ambao hawajapitia,pia na ndoa zao hudum zaidi, naomba tubadilishane mawazo hapa, hasa tupata ushuhuda kwa wale waliooa haya makabila ambayo bado wanapitia huko kama vile wamakonde,wamakua na mengine,karibuni