'Ndoa' za Wanachuo hosteli 'bubu'

'Ndoa' za Wanachuo hosteli 'bubu'

Wanafunzi kukaa nje ya shule ni balaa. Mimi niliwahi kukaa kwenye hostel za kujitegemea kipindi niko form 5, aisee wanafunzi wa form 4 mpaka 6 walikuwa wameoana. Yani kulana nje nje maana hatukuwa na uangalizi. Nlikuwa naenjoy hilo life hata shule siendi.
Namshukuru Mzee wangu, sijui ilikuaje akachezwa na machale akaniondoa pale akanipeleka shule nyingine otherwise ningepoteza muelekeo.
Chuo pia mambo yakawa yale yale ila nilikuwa nshajielewa hivyo sikutoka kwenye mstari kihivyo.
 
Hongera Sana kwa kujitambua mapema. Wenzio wamelowea kwenye mapenzi na kusahau mapenzi. Baadhi wamepata ujauzito badala ya digrii. Survey pale wanastahili kupewa Mkoa kamili, maana vijana wametia fora
 
Kumezuka utaratibu wa Wanachuo kuishi kinyumba katika hosteli 'bubu' hususan Msewe, Changanyikeni, Mabibo, Survey, Mlalakua, Makongo na Kigamboni. Vijana badala ya kusoma wanawaza kudinyana**a.k.a **kuloweka Pamoja na madawa, pombe daily na kuchoropoa vichanga. Hapo usiulize UKIMWI au STD's maana Ni za kumwaga. Punde ARV hazitatosha huko hospitali. Pia itabidi ianzishwe WIZARA YA MAGONJWA NYEMELEZI ili kushughilikia wafiwa.
***Nina pharmacy Msewe Ni mwendo wa Pregnancy tests, P2 lakin Kondomu kwa mbaaaali.
NB: Graduate with A's not with AIDS

View attachment 2048638

View attachment 2050364
Mangi vipi kuna mwanachuo amekunyima jambo nini mbona hasira sana
 
Ila hii issue Iko VERY SERIOUS wazazi wangekuwa wanajua yanayoendelea chuoni, sidhani kama wangetaman kuendelea kulipa ada.

Nimekaa hostel Moja, jamaa yangu anakaa na Binti Wa watu kama vile kamuoa, bafu la kiume na halina mlango lakini, mara kadhaa tunakutana koridoni na jichekea tu kwa future husband wake.
 
Na wewe sasa.huo ni umbeya, yaani umekosa kazi ya kufanya kiasi kwamba ukaamua kuanza kutembea Mabibo, survey, changanyikeni, msewe, kigamboni n.k kufuatilia wanafunzi wanaoishi pamoja? Mbaya zaidi ukaanza kufuatilia na namna wanavulyotumia p2 na kuchoropoa mimba na namna wanavyotumia kondom kwa mbaaali? Your hayo wewe tu?????
 
Back
Top Bottom