Jese Pinkman
JF-Expert Member
- Mar 5, 2014
- 661
- 338
Vijana wa sikuizi wanaanza "honey moon" kwanza ndo kanisani kufunga ndoa aka kamchezo kamezidi mpaka imetokea wadada 6 wanafunga ndoa church afu wote wana mimba. kwa lugha ya kisasa ukipata mimba ndo unaolewa yani 'PMU' Pata Mimba Uolewe,we mbanie mwenzako utakua ivyo ivyo na uchumba sugu wa miaka 10