mie hanibebeshi rambo japo si contribute,ataniacha mie na wanangu hapo yeye akaanze lyfe yake! zangu mie nitapita town nione shati zuri, sox nimnunulie, zaidi ya hapo hapana.
karibu tena masa. washing machine kitu gani na umeme wenyewe wa kupima huu, kitu kufua kibongobongo tu.Mna washing machine?
naona mchungaji karudi,
vipi umeme ulikatika amerika?
karibu tena masa. washing machine kitu gani na umeme wenyewe wa kupima huu, kitu kufua kibongobongo tu.
Ama kweli kazi ipo, nakumbuka kufua chupiz za ,mamsap kwa mkono alipomaliza mambo yale ya kila mwezi loooh...nilikoma! Nilikumbuka washing mashine
Ama kweli kazi ipo, nakumbuka kufua chupiz za ,mamsap kwa mkono alipomaliza mambo yale ya kila mwezi loooh...nilikoma! Nilikumbuka washing mashine
he he hee kumbe mnaumia eeh, wakati hata za wanaume zina vimikojo na mabao mnapokuwa mnafantasize na wanawake kwenye daladala, haloo.Ama kweli kazi ipo, nakumbuka kufua chupiz za ,mamsap kwa mkono alipomaliza mambo yale ya kila mwezi loooh...nilikoma! Nilikumbuka washing mashine
Mmmh huo wimbo sijawahi kuusikia..nani kauimba huo niweze youtube!....
ila ni kweli haya mambo kila kitu housegirl afanye yamezidi sana tuu kwa watanzania.....kwanza hawatakiwi kuitwa housegirl ni Maids bana...i hate that name housegirl limekaa kiutumwa sana tuu
Akha kaka alikupa hata hizo? pole but kwani si tunavaaga vikingia lol!! Sipati picha!
mkuu Triplets,
chupi ya mumeo unafua au HUFUI?
Ama kweli kazi ipo, nakumbuka kufua chupiz za ,mamsap kwa mkono alipomaliza mambo yale ya kila mwezi loooh...nilikoma! Nilikumbuka washing mashine
Oooops mazee duh kwa hiyo wewe kama Bushoke sasa utakuja bambikiwa kid wewe.
jamani si akina baba wote ambao hawawajibiki, mbona mie nafanya kazi lkn my wife hafanyi kazi but room kwetu nafanya yafuatayo
1.nafua pants zetu wote mara ya mwisho yeye kufua nadhani ni miezi km 4 imepita
2.usafi wote wa kupiga deki na kufuta vumbi huwa nafanya mie, kusafisha choo na bafu nafanya mie
3. Daily mie ndo natandika kitanda nakubadilisha mashuka
4. Akisuka rasta zake siku akitaka kufumua basi atakuja baba nani hii nifumue nywele huwezi amini room namfumua nywele ni vitu ambavyo nimevizoea
nna moyo sana wa kusaidia na hii imenijenga toka nikiwa home kwetu my late father alipenda sana usafi na alisisitiza sana kuwa msafi room basi ikanijenga nikawa siwezi kumwachia mtu mwingine afanye usafi wa pants zangu na hii ndo imenifanya mpaka leo nione ni kitu cha kawaida sana.
Hii imenifanya niwe karibu sana na mke wangu huwa mpaka najiuliza km wanaume wengine wangekuwa hivi wangefaidi sana mapenzi ya wake zao ingawa wengi wanadhani eti mwanamke atakudharau lkn si hivyo. Hii imefanya tuwe kama marafiki kwa kweli, hakuna kununiana nuniana kwa hovyo, wala visasi visivyo na maana hakuna siri kila atakachofanya ntaambiwa kwanza.
Hapo kiaje mazee?
Fidel na wewe kumbe mzushi wa mambo? sasa Chrispin nilimnyima nini tena? mbona hajawahi kuniomba kitu chochote?Hahahaha mpwa msamehe au kwa vile alikunyima nanihino hahahahaha
Fidel na wewe kumbe mzushi wa mambo? sasa Chrispin nilimnyima nini tena? mbona hajawahi kuniomba kitu chochote?
ha haa ...Geoff mbona leo umeshikia bango hizi nguo za ndani kulikoni??
Chupi za mume wangu sifui kwa sababu hapendi kufuliwa chupi, anajisikia vizuri akifua mwenyewe
Fidel na wewe kumbe mzushi wa mambo? sasa Chrispin nilimnyima nini tena? mbona hajawahi kuniomba kitu chochote?