You got it right Mwanajamii1, ni kama vile ulikuwa kichwani mwangu. yaani hii ndiyo lifestyle ya wanaume wetu hawa wa kibongo, eti wakishaoa wanadhani wake zao ni maids, hawezi hata kushusha net kitandani, wanajua kuvua nguo na kutupa katikati ya chumba.
Shauri yako Fidel80,mwaka 2012 ukioa usithubutu kujifanya busy eti hutaki kukaa na mkeo,utasaidiwa na serengeti boys.mchana wote unashinda kazini,jioni na wikiendi upo bar,hivi unategemea nini? kwa taarifa yako wanawake huwa tunapenda sana kupewa muda wa faragha.Chrispin asikudanganye hayo anayosema hayatendi.
Ntake radhi ZD, sincerely. Sijawahi wale sitegemei kuwadanganya makomredi wenzangu. Nakupa masaa 24 vinginevyo tutakutana court of law.
Kaka I feel your feelings!! But with due respect kaka sometimes inabidi nanyi mara moja moja muwe mnayatia mapenzi chachu hata kwa kufanya kakitu kadogo kuonyesha kuwa unamsaidia wife. Sio unakuta mwingine kaka yeye anachojua ni kufanyiwa tu mfano
1. Anaamka asubuhi anakuamsha ukamwekee maji kwenye ndoo (na yanatoka bombani na ni master bedroom)
2. Umwekee dawa ya meno kwenye mswaki (usipoweka ataoga kisha atatoka kuja kuulizia mswaki wake)
3. Anatoka bafuni (hapo unakuta pant yake kaivua kaitupia kwenye sink anasubiri uje uife!)
4. Akitoka ushampigia pasi anavaa, anakunywa chai ulomwekea kisha huyooo funguo za gari zi wapi na akifika ndani ya gari ni honi mtindo mmoja unamchelewesha na usipokimbia na viatu mkononi anakuacha unakwenda ofcn kwa daladala au ukifanikiwa kuingia kwenye gari basi kusemwa mtindo mmoja unamchelewesha teke.
MCHANA KUTWA HATA KUKUPIGIA SIMU YA SALAMU AU SMS YA I MISS YOU!
5. Akirudi jioni akute chai yake mezani na maji bafuni
6. Atizame TV huku akisubiri chakula au asome magazeti yake
7. Akishakula huyooo kitandani analala huku akisubiri wewe uje ushushe neti na kumfunika na shuka!
8. Uingie kitandani baada ya kumaliza kazi zako akudake tayari kwa chakula cha usiku.
The life continues!
Kwa style hii kweli unategemea mkeo atakuwa anamapenzi na wewe? Si atajihisi hana tofauti na huyo housegirl jamani!
Jamani mara moja moja ukinisaidia kushusha net au hata kunipigia na mimi pasi I tell you nitaikumbuka kwa muda mrefu na moyo wangu kukongwa vilivyo!!
I am better than my wife. Huwa analia sana wakati wa kumegana, afu anamalizia kwa kushukuru: Thanks Chris, you are everything to me!. You are so sweet. Hahahaha!
Hahahaha mpwa msamehe au kwa vile alikunyima nanihino hahahahaha
Mbaya zaidi ni pale unapokuta anakuibia,God forbid! Au kama ana serengeti boy naye anaambiwa hivyohivyo na wewe unakuja hapa kubrag cheza na wanawake wewe! we are very good actresses sometimes fyi
Basi acheni wivu tunavyowamega mabaamedi na mahausigeli. Mbona mnalalamika kila siku? Angalia idadi ya thread humu jamvini, kila siku ni vilio vya wanawake wanalalamikia wanaume wakiongozwa na MJ1... Amkeni kina mama.
MCHUNGAJI,Nataka M-date MJ1, niko serious, inaelekea huyo mmama hajapata penzi la maana...hebu fanya mambo Chriss!
We bana achana na maisha ya kizungu wewe ni Mwafrika mweusi wa Kibongo unataka uishi maisha ya kizungu ya nini bana? Inajulikana wazi Kiafrika kazi za mama ni zipi na kazi za baba ni zipi naona unamix uzungu hapa eti kazi kusaidiana weeeee ungekuwa mke wangu nakupiga talaka 5 kwenue na rambo kwenye nguo hakuna kubeba begi yaani mm nikusaidie kufua? Nikusaidie kuosha vyombo? Nikusaidie kupiga deki khaaaaa! weeeee ahaaaa unasapeshwa fasta ukamtafute Bushoke.
Hivi fikiria umemtembelea kaka ako ukafika pale ukaona kaka ako anaosha vyombo wifi yako yupo kwenye kochi anaangalia Luninga alafu anamwambia ukimaliza vyombo dear alafu udeki nyumba nzima mm nimechoka utajisikiaje? Sio mnasema tu.
Nataka M-date MJ1, niko serious, inaelekea huyo mmama hajapata penzi la maana...hebu fanya mambo Chriss!
...upo sahihi hasa!
Tatizo ni kina mama wa kileo kujibweteka! ...wengine usipowatolea uvivu utakuta hata chupi za mkeo na boxers zako zinafuliwa na house girl!...
Muhimu baba mwenye nyumba kuhakikisha hako kabinti nako kanapata mahitaji yake muhimu ya kibinaadamu, ....!
naona shemasi chrispini ndani ya nyumba!thread zako hizi mazee!
TUMSIFU YESU KRISTU?!............
Halafu Fidel unaongea mambo ya kizamani saaana, hii dunia inasonga mbele hairudi nyuma ndugu yangu. mke alivyokuwa anatendewa miaka ile si sasa, just accept it.
HAHAHAHAH!poa mzee wa tegeta by night!leo tunavamia huko na mpiganaji pande za jioni sana!heheheheMilele amina Katekista. Zinaendana na mimi hizi thread, kama wewe na avatar yako mnavyoendana. Hahaha!
Kaka I feel your feelings!! But with due respect kaka sometimes inabidi nanyi mara moja moja muwe mnayatia mapenzi chachu hata kwa kufanya kakitu kadogo kuonyesha kuwa unamsaidia wife. Sio unakuta mwingine kaka yeye anachojua ni kufanyiwa tu mfano
1. Anaamka asubuhi anakuamsha ukamwekee maji kwenye ndoo (na yanatoka bombani na ni master bedroom)
2. Umwekee dawa ya meno kwenye mswaki (usipoweka ataoga kisha atatoka kuja kuulizia mswaki wake)
3. Anatoka bafuni (hapo unakuta pant yake kaivua kaitupia kwenye sink anasubiri uje uife!)
4. Akitoka ushampigia pasi anavaa, anakunywa chai ulomwekea kisha huyooo funguo za gari zi wapi na akifika ndani ya gari ni honi mtindo mmoja unamchelewesha na usipokimbia na viatu mkononi anakuacha unakwenda ofcn kwa daladala au ukifanikiwa kuingia kwenye gari basi kusemwa mtindo mmoja unamchelewesha teke.
MCHANA KUTWA HATA KUKUPIGIA SIMU YA SALAMU AU SMS YA I MISS YOU!
5. Akirudi jioni akute chai yake mezani na maji bafuni
6. Atizame TV huku akisubiri chakula au asome magazeti yake
7. Akishakula huyooo kitandani analala huku akisubiri wewe uje ushushe neti na kumfunika na shuka!
8. Uingie kitandani baada ya kumaliza kazi zako akudake tayari kwa chakula cha usiku.
The life continues!
Kwa style hii kweli unategemea mkeo atakuwa anamapenzi na wewe? Si atajihisi hana tofauti na huyo housegirl jamani!
Jamani mara moja moja ukinisaidia kushusha net au hata kunipigia na mimi pasi I tell you nitaikumbuka kwa muda mrefu na moyo wangu kukongwa vilivyo!!
HAHAHAHAH!poa mzee wa tegeta by night!leo tunavamia huko na mpiganaji pande za jioni sana!hehehehe
unajua hizi ''thredi-zetu'' haziboi,na hazina stress
Karibuni wadau tudumishe mila zilizowashinda kina MJ1.