angelita
JF-Expert Member
- Jun 13, 2013
- 3,017
- 2,446
unaruhusiwa kubadili dini mkuu,ili ukaowe unaotaka
Ushauri mzuri sana
unaruhusiwa kubadili dini mkuu,ili ukaowe unaotaka
MMMMMMMHHHHH! Ngoja nipite kimyaaaaa! Leo kulikuwa na matukio mengi sanaaa nipo busy kuyaingiza kwenye kitabu cha KUMBULUMBU ZA UBUYU WA JF! Hahahaaaaa
Mmmmhhhh... Nasikitika kuona Shetani anavyoiteka sekta ya Ndoa
Nimependa ufafanuzi wako.Nafikiri watu wengi huwa hatuelewi ni mkataba gani unaoongelewa. Hakuna ndoa ya mkataba duniani kote inayoongelea duration ya ndoa. Utalipia mileage ama? Mkataba unaoongelewa ni prenuptial ama prenup. Huu ni mkataba wa kuwa chochote nilichochuma kabla ya ndoa hakihusiani na wewe. Hii inathibiti wenza wanaoingia kwenye ndoa na focus ya divorce. Unaoa ama kuolewa na suruali mbili za jeans afu unafile for divorce unataka kuweka mezani jasho la miaka 30 la kibabu ama kibibi cha watu.
Aah mimi mwenyewe jambo hili daah...mi sipigii chapuo ndoa za mkataba ila talaka ingekuwepogi tu.....
Sio kila kitu kina sababishwa na shetani.Mmmmhhhh... Nasikitika kuona Shetani anavyoiteka sekta ya Ndoa
Mbona talaka zipogi tena nje nje tu....
kuishi pamoja bila ndoa ndo raha sana....ukiona namna gani vipi unasepa tu, hamna cha nirudishie mahari wala pete ya uchumba!
mi ni christian kaka Roman catholic born and raised.
displayname yako first ndio nitakuambia marital status yangu.
Interesting...
Aah mimi mwenyewe jambo hili daah...mi sipigii chapuo ndoa za mkataba ila talaka ingekuwepogi tu.....
Sio kila kitu kina sababishwa na shetani.