Ndoa za mkataba zina raha sana

Ndoa za mkataba zina raha sana

Mmmmh lkn unapofikiria hivyo kumbuka na mkeo nae ana yake anayawaza,au kuna wanaomtamani pia mkeo
 
Kwa sie wakristo talaka ni kuchepuka

My dia ukilijua neno wala ht hupati shida!

Inategemea walioachana msingi wa ndoa yao ulikuwaje!
Unless unahaki kabisa ht km mlifunga kanisani mnaachana

Manaake ckuhiz bila neno utayumbishwa sana
 
Back
Top Bottom